Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

Kama Mungu hayupo, niambie ni nani aliyeumba dunia, lakini pia nambie ni nani alipangilia hiyo mifumo ya mwili wako kuwa hivyo ilivyo, pia niambie ni ilikuaje binadamu akawa na akili kubwa kuliko makundi mengine ya wanyama?
 
Mwisho wangu hauna maana yeyote kwangu.

Na kuanza kufikiria hivyo inabaki kuwa ni jambo la kijinga tu.
 
Kama Mungu hayupo, niambie ni nani aliyeumba dunia, lakini pia nambie ni nani alipangilia hiyo mifumo ya mwili wako kuwa hivyo ilivyo, pia niambie ni ilikuaje binadamu akawa na akili kubwa kuliko makundi mengine ya wanyama?
kwani unauhakika upi kama dunia iliumbwa?.....
Hata sokwe ana akili kubwa sana kuliko kenge,...
kwanini huyo MUNGU anajificha, na sio kuja kuuthibitishia ulimwengu kuwa yupo?.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…