Umewahi kujiuliza kiongozi wako ana akili timamu? CASE YA DIWANI DOGO JANJA

Umewahi kujiuliza kiongozi wako ana akili timamu? CASE YA DIWANI DOGO JANJA

Siungi mkono tabia aliyoonyesha Dogo Janja kwenye hiyo clip. Ni tabia ya hovyo kama ilivyo mjumbe wa kamati kuu CHADEMA Joseph Mbilinyi Sugu ambaye hutukana tusi mtandaoni. Dogo Janja hana tofauti pia na Rugemeleza Nshala ambaye kutamka maneno ya hovyo hadharani ni kawaida yake. Ninapendekeza katiba irekebishwe na kuzuia viongozi kuanzia ngazi ya kijiji wawe na elimu angalau ya kidato cha nne. Watu kama Sugu, Lema na Dogo Janja hawapaswi kuongoza watu kwa nyakati tulizopo.
 
Back
Top Bottom