Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Mitandao yoteKwa sasa TikTok inatajirisha wengi sana
HakikaKuna binti amefunguwa saloon ila wateja wake anawapata tiktok yani kwa siku hakosi wateja kumi achilia mbali wale wa eneo lake pia kawaajiri na wenzake
Na wale wanaotikisa makalioKwa sasa TikTok inatajirisha wengi sana
Utasikia kupata namba 20. Tuma pesa NMB ndo Tuchat sasa Jiulize Kuna wajinga wangapi wamemtumia pesa+ na wewe.Na wale wanaotikisa makalio
Huko nasikia wanapiga hela
Ova
Madem wa Mitandaoni Matapeli Kinoma.... wanatanguliza pesa Mbele, akiona Tu Pesa apati anakublock, na ukituma ana kiblockNa wale wanaotikisa makalio
Huko nasikia wanapiga hela
Ova
😄Madem wa Mitandaoni Matapeli Kinoma.... wanatanguliza pesa Mbele, akiona Tu Pesa apati anakublock, na ukituma ana kiblock
ww kama unabidhaa unauza na unauhakika na bidhaa yako, nenda whatsp businessMnapigaje hela kwenye mitandao ya kijamii? Huwa nasikia hizi story ila sijawahi kuelewa unagenerate vipi kipato kupitia Insta, Facebook au Whatsapp
Na wale wanaotikisa makalio
Huko nasikia wanapiga hela
Ova