Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

digital marketing ndio habari ya mjini kuna account huku fb ya new katoto anawateja kama wote.
 
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.

Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao

Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k

God bless you makizigibagi.
Zuckerberg CIA agent.
 
Back
Top Bottom