Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

digital marketing ndio habari ya mjini kuna account huku fb ya new katoto anawateja kama wote.
 
Zuckerberg CIA agent.
 
Halafu mnaishangilia CCM kuzuia starlink eti ni mabeberu, akili makalioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…