Umewahi kukaa hoteli au sehemu na Kivulana cha tabia hii?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana (ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu.

Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo Bandarini.

Hiki kijamaa kimegeuka kuwa kituko maana watu wamekereka wamechoka. Mmoja kamwita mhudumu kuwa akamwambie jamaa apunguze makelele watu wamekuja kula na kupumzisha akili.

Kijamaa kinatumia mbinu za miaka ya nyuma mikoa ya mbali kama Bukoba nakumbuka miaka ya late 1990s ndo tulikuwa sisi wa town tulienda na simu zetu za Motorrolla tunakuwa na beat la namna hii.

Kajamaa kanakuja kufanya fujo hizo miaka hii ya 2020s. Kamening'iniza funguo kiunoni, kameshika simu mbili na power bank. Yaani kana ushamba mwingi sana.

Anyway, hayo yote hayatuhusu. Issue kubwa ni hizi kelele kanazopiga muda wote kakitukana wafanyakazi wake, kama kanao. Yaani kanaonesha kenyewe ni ka Boss.

Watu wamefikia hatua wameanza kucheka. Maana wanaona ni vituko tu yale yanayotokea hapa.

Nikawaza haya mambo kweli kwenye buses, daladala, ndege, train, meli hayakosekani? Abiria aliyejaa deal muda wote wa safari? Unaweza tamani ashushwe au ushuke.
 
Hizi simu kuna watu wana kero sana hovyo kabisa! Lijitu mna maongezi yenu lenyewe linapokea simu mbele yenu linaanza kupiga makelele, mipango yake, ugonvi wake hata maongezi ya mahabainawaingilia hata maongezi yako.

Kuna yale mengine najinga kabisa unakutana nalo hamjaonana siku nyi gi mnaongea kifogo linaanza kupigia watu wengine unashangaa linakupa simu, ongea naye! hovyo kabisa nani alikuambia sina mamba yake?
 
Lakini nahisi pia atakuwa kabila flani hivi hapa TZ...
 
TID naye aliumbuka hivi hivi mwanzo wa miaka ya 2000 akiwa na yale mirasta na kuitwa *mkyusa' kutokana kufananana na waigizaji wa ile movie yhorror ya kwanza Bongo.

Alikuwa akipokea simu mbele za watu bila kupigwa na kuanza kuongea kiingereza kwa nguvu. Kwa bahati mbaya simu ikaita ikilia kwa sauti huku kaiweka maskioni akibwabwaja. Watu walimcheka sana.
 
Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana ( ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu.

Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo Bandarini.

Hiki kijamaa kimegeuka kuwa kituko maana watu wamekereka wamechoka. Mmoja kamwita mhudumu kuwa akamwambie jamaa apunguze makelele watu wamekuja kula na kupumzisha akili.

Kijamaa kinatumia mbinu za miaka ya nyuma mikoa ya mbali kama Bukoba nakumbuka miaka ya late 1990s ndo tulikuwa sisi wa town tulienda na simu zetu za Motorrolla tunakuwa na beat la namna hii.

Kajamaa kanakuja kufanya fujo hizo miaka hii ya 2020s. Kamening'iniza funguo kiunoni,kameshika simu mbili na power bank. Yaani kana ushamba mwingi sana.

Anyway....hayo yote hayatuhusu. Issue kubwa ni hizi kelele kanazopiga muda wote kakitukana wafanyakazi wake....kama kanao. Yaani kanaonesha kenyewe ni ka Boss...

Watu wamefikia hatua wameanza kucheka. Maana wanaona ni vituko tu yale yanayotokea hapa.

Nikawaza haya mambo kweli kwenye buses,daladala,ndege,train,meli hayakosekani? Abiria aliyejaa deal muda wote wa safari? Unaweza tamani ashushwe au ushuke.
Bila picha au recorded voice itakua ni chumvi tu
 
Hukumpiga picha?
 
Back
Top Bottom