Umewahi kukaa hoteli au sehemu na Kivulana cha tabia hii?

Mpaka wakati huu mtu unatembea na power bank huyo tayar n Lana Zaid kwakweli
 
Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana ( ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu.

Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo Bandarini.

Hiki kijamaa kimegeuka kuwa kituko maana watu wamekereka wamechoka. Mmoja kamwita mhudumu kuwa akamwambie jamaa apunguze makelele watu wamekuja kula na kupumzisha akili.

Kijamaa kinatumia mbinu za miaka ya nyuma mikoa ya mbali kama Bukoba nakumbuka miaka ya late 1990s ndo tulikuwa sisi wa town tulienda na simu zetu za Motorrolla tunakuwa na beat la namna hii.

Kajamaa kanakuja kufanya fujo hizo miaka hii ya 2020s. Kamening'iniza funguo kiunoni,kameshika simu mbili na power bank. Yaani kana ushamba mwingi sana.

Anyway....hayo yote hayatuhusu. Issue kubwa ni hizi kelele kanazopiga muda wote kakitukana wafanyakazi wake....kama kanao. Yaani kanaonesha kenyewe ni ka Boss...

Watu wamefikia hatua wameanza kucheka. Maana wanaona ni vituko tu yale yanayotokea hapa.

Nikawaza haya mambo kweli kwenye buses,daladala,ndege,train,meli hayakosekani? Abiria aliyejaa deal muda wote wa safari? Unaweza tamani ashushwe au ushuke.
Kuna wengine, ndani ya bus la usafiri, utakuta anaongea mwanzo mwisho, kelele tupu, na anachoongea hakina maana, yani ili mradi adhihirishe ushamba wake tu.
 
WA-IMG-20210615-3da0b40c.jpg
 
Angekuwepo member mjanja mjanja wa JF ungekuta ameshamchukua picha huyo majinuni nankuiwasilisha humu kwenye thread yake lakini wewe unashangaza sana kwa kuja mikono mitupu
Eti una roho mbaya tu..mleta Uzi Kani PM
 
Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana ( ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu.

Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo Bandarini.

Hiki kijamaa kimegeuka kuwa kituko maana watu wamekereka wamechoka. Mmoja kamwita mhudumu kuwa akamwambie jamaa apunguze makelele watu wamekuja kula na kupumzisha akili.

Kijamaa kinatumia mbinu za miaka ya nyuma mikoa ya mbali kama Bukoba nakumbuka miaka ya late 1990s ndo tulikuwa sisi wa town tulienda na simu zetu za Motorrolla tunakuwa na beat la namna hii.

Kajamaa kanakuja kufanya fujo hizo miaka hii ya 2020s. Kamening'iniza funguo kiunoni,kameshika simu mbili na power bank. Yaani kana ushamba mwingi sana.

Anyway....hayo yote hayatuhusu. Issue kubwa ni hizi kelele kanazopiga muda wote kakitukana wafanyakazi wake....kama kanao. Yaani kanaonesha kenyewe ni ka Boss...

Watu wamefikia hatua wameanza kucheka. Maana wanaona ni vituko tu yale yanayotokea hapa.

Nikawaza haya mambo kweli kwenye buses,daladala,ndege,train,meli hayakosekani? Abiria aliyejaa deal muda wote wa safari? Unaweza tamani ashushwe au ushuke.
Picha iko wapi? Siku nyingine ikitokea ishu kama hii niite ooh sorryikitokea ishu kaa hii piga picha
 
TID naye aliumbuka hivi hivi mwanzo wa miaka ya 2000 akiwa na yale mirasta na kuitwa *mkyusa' kutokana kufananana na waigizaji wa ile movie yhorror ya kwanza bongo.

Alikuwa akipokea simu mbele za watu bila kupigwa na kuanza kuongea kiingereza kwa nguvu. Kwa bahati mbaya simu ikaita ikilia kwa sauti huku kaiweka maskioni akibwabwaja. Watu walimcheka sana.
Nsyuka
 
Ungekaita pembeni na kukipa vitasa viwili kangeacha kuwapigia kelele!
 
Back
Top Bottom