Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

Bado hujafahamu maana ya De Javu. Inabidi uendelee kujifunza au tafuta mtu akufundishe lugha iliyotumika nadhani ndo imekuchanganya. Tafuta hata kwa kiswahili. Ulichoelezea na mfano wako wa kufika DSM siyo De JaVu.
Toa elimu acha maneno mengi!

Wewe mwenyewe hujui kitu unapuyanga tu huku ukijifanya profesa uchwara!
 
Sawa nakubali Ila nafikiri ungesema Dejavu ni nn ingekaa vzr.
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.

Lakini ukawa na hisia kuwa mbona kama nimewahi fika hii ofisi. Mbona si ngeni. Wakati mwingine unaweza fanya kitu then ikakujia kumbukumbu umewahi fanya kitu kama hicho before si kigeni. Ingawa kiuhalisia ndo mara ya kwanza unafanya.
 
Elezeni basi nyie Ili tuelewe .
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.

Lakini ukawa na hisia kuwa mbona kama nimewahi fika hii ofisi. Mbona si ngeni. Wakati mwingine unaweza fanya kitu then ikakujia kumbukumbu umewahi fanya kitu kama hicho before si kigeni. Ingawa kiuhalisia ndo mara ya kwanza unafanya.
 
Toa elimu acha maneno mengi!

Wewe mwenyewe hujui kitu unapuyanga tu huku ukijifanya profesa uchwara!
JAna usiku ulikula? Usiwe na hasira. Ndo mjitahidi sasa mdai serikali iwasaidie mazingira mazuri ya kupata kazi. Usilale na njaa. Usiwe na hasira.
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.

Lakini ukawa na hisia kuwa mbona kama nimewahi fika hii ofisi. Mbona si ngeni. Wakati mwingine unaweza fanya kitu then ikakujia kumbukumbu umewahi fanya kitu kama hicho before si kigeni. Ingawa kiuhalisia ndo mara ya kwanza unafanya.
 
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.

Lakini ukawa na hisia kuwa mbona kama nimewahi fika hii ofisi. Mbona si ngeni. Wakati mwingine unaweza fanya kitu then ikakujia kumbukumbu umewahi fanya kitu kama hicho before si kigeni. Ingawa kiuhalisia ndo mara ya kwanza unafanya.
Profesa uchwaraa!

Kwani umeeleza kitu gani cha tofauti na alichosema?
 
Nafsi inaweza kusafiri!
Ikafika eneo au sehemu kabla ya mwili kufika.

Siku mwili ukifika sehemu hiyo au katika tukuo Hilo! Nafsi inakuwa inaufahamu tayari hai surprised.
Hili expert wangu kwa asilimia kubwa lina ukweli sana,kwasababu kwa mujibu wa qur'an tukufu,roho huwa zina kawaida ya kuacha mwili kila siku iendayo kwa Mungu tunapo lala

Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa on their way back zinapita sehemu mbali mbali na mwisho wa siku ukienda pale physical unakumbuka mbona hapa nishafika

Hii nadharia nai amini asilimia zote
 
There are also related phenomena such as the 'never seen before', " jamais vu"which consists of feeling at odds with something you already know.
 
Back
Top Bottom