BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Nilipofika Tanga Mabawa mara ya kwanza niliona nimeshawahi kufika na kwenda kwa mwenyeji wangu bila kuongozwaLeo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma"
katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen.
Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu
Dejavu - inaamisha kuwa kuna mambo huwa yanatokea au Unayaona na Kuhisi Kama uliwahi kuyaona.
Ntaendelea Ila sifikirii Kama nitaelewaka kirahisi
Ni kuwa unaweza kukaa eneo ambalo ulishawahi kulikaa kupitia kitu inaitwa Dejavu already seen na ukikaa katika hilo eneo utali-master na kujikuta unaishi vizuri kwakuwa utakuwa na insights nyingi sana juu yako.
Nastaajabu sana.