Nadhani lugha imemgonga hajajua bado maana ya dejavuTotally wrong description plus unrelated examples.
Asome vizuri, aweke fikra zake pembeni ili material sahihi iingie kichwani.Nadhani lugha imemgonga hajajua bado maana ya dejavu
Sawa nakubali Ila nafikiri ungesema Dejavu ni nn ingekaa vzr.Nadhani lugha imemgonga hajajua bado maana ya dejavu
π€π€Bado hujafahamu maana ya De Javu. Inabidi uendelee kujifunza au tafuta mtu akufundishe lugha iliyotumika nadhani ndo imekuchanganya. Tafuta hata kwa kiswahili. Ulichoelezea na mfano wako wa kufika DSM siyo De JaVu.
The phenomenon manifests occasionally as a symptom of seizure auras, and some researchers have associated chronic/frequent "pathological" dΓ©jΓ vu with neurological or psychiatric illness.Sawa nakubali Ila nafikiri ungesema Dejavu ni nn ingekaa vzr.
Sasa si ndio utoe elimu tufaidike wote!Bado rudi usome tena about soul kaka, labda niseme your soul. Hebu jaribu kufatilia soul yako kaka utagundua kuna kitu.π π
Wazee wa Google huwa mnachekesha sana!The phenomenon manifests occasionally as a symptom of seizure auras, and some researchers have associated chronic/frequent "pathological" dΓ©jΓ vu with neurological or psychiatric illness.
Toa elimu acha maneno mengi!Bado hujafahamu maana ya De Javu. Inabidi uendelee kujifunza au tafuta mtu akufundishe lugha iliyotumika nadhani ndo imekuchanganya. Tafuta hata kwa kiswahili. Ulichoelezea na mfano wako wa kufika DSM siyo De JaVu.
Asome vizuri, aweke fikra zake pembeni ili material sahihi iingie kichwani.
Elezeni basi nyie Ili tuelewe .Nadhani lugha imemgonga hajajua bado maana ya dejavu
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.Sawa nakubali Ila nafikiri ungesema Dejavu ni nn ingekaa vzr.
Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.Elezeni basi nyie Ili tuelewe .
JAna usiku ulikula? Usiwe na hasira. Ndo mjitahidi sasa mdai serikali iwasaidie mazingira mazuri ya kupata kazi. Usilale na njaa. Usiwe na hasira.Toa elimu acha maneno mengi!
Wewe mwenyewe hujui kitu unapuyanga tu huku ukijifanya profesa uchwara!
Sasa uliishi kidimbwi kabla hujafa ?Huenda uliishi huko zamani kabla hujafa na kuzaliwa upya...πππ
Profesa uchwaraa!Ni rahisi tu. Ni ile hali ya hisia kuwa umewahi fanya jambo flani ingawa ndo kwa mara ya kwanza unafanya. Au umewahi fika sehemu flani ingawa ndo umefika kwa mara ya kwanza. Mfano umekuja leo hapa nilipo USA Washington DC. Ukaingia ofisini kwangu kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwako.
Lakini ukawa na hisia kuwa mbona kama nimewahi fika hii ofisi. Mbona si ngeni. Wakati mwingine unaweza fanya kitu then ikakujia kumbukumbu umewahi fanya kitu kama hicho before si kigeni. Ingawa kiuhalisia ndo mara ya kwanza unafanya.
Hili expert wangu kwa asilimia kubwa lina ukweli sana,kwasababu kwa mujibu wa qur'an tukufu,roho huwa zina kawaida ya kuacha mwili kila siku iendayo kwa Mungu tunapo lalaNafsi inaweza kusafiri!
Ikafika eneo au sehemu kabla ya mwili kufika.
Siku mwili ukifika sehemu hiyo au katika tukuo Hilo! Nafsi inakuwa inaufahamu tayari hai surprised.