Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.

Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.

Ni miaka nane sasa toka ninunue lile eneo, sasa hivi nacheka tu 😂😂😂
 
Noma sana kiongozi... hili kosa nililifanya mimi yani kuna jamaa yangu mwaka 2009 akanunua wazo kule chini kwenye barabara ya umoja road.
Kipindi hicho nasoma chuo na nilikuwa likizo napiga kazi fulani napata ela ndefu tu. Mimi nikawa namcheka kwa sababu hakukuwa na umeme wala maji halafu ni maporini. Nawaza nikimaliza chuo ntapata kazi nzuri ninunue ushuani.
Aisee leo hii kule yani viwanja vishakuwa bei kinoma aliuza sehemu ya eneo lake akajenga.
Sasa hivi nimekoma kabisa hadi nimejenga mbali huku mapinga. Ila nilijifunza, nimenunua eneo kubwa huko kingamboni ambapo wajanja wanaenda kununua maheka wanayapima na kuuza viwanja. Mimi nimejichukulia heka kadhaa najua baada ya miaka 8 eeeh pale nitakuwa nimezungukwa watu.
 
Siyo mimi ila wazazi wangu.

Walinunua eneo Tabata wayback wakachekwa na ndugu zao wakaliuza
 
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.

Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.

Ni miaka nane sasa toka ninunue lile eneo, sasa hivi nacheka tu 😂😂😂
Mbona hata ujumbe haueleweki kwanini unacheka.
 
Asee
Noma sana kiongozi... hili kosa nililifanya mimi yani kuna jamaa yangu mwaka 2009 akanunua wazo kule chini kwenye barabara ya umoja road.
Kipindi hicho nasoma chuo na nilikuwa likizo napiga kazi fulani napata ela ndefu tu. Mimi nikawa namcheka kwa sababu hakukuwa na umeme wala maji halafu ni maporini. Nawaza nikimaliza chuo ntapata kazi nzuri ninunue ushuani.
Aisee leo hii kule yani viwanja vishakuwa bei kinoma aliuza sehemu ya eneo lake akajenga.
Sasa hivi nimekoma kabisa hadi nimejenga mbali huku mapinga. Ila nilijifunza, nimenunua eneo kubwa huko kingamboni ambapo wajanja wanaenda kununua maheka wanayapima na kuuza viwanja. Mimi nimejichukulia heka kadhaa najua baada ya miaka 8 eeeh pale nitakuwa nimezungukwa watu.
Ardhi si ya kudharau.
 
Land appreciates day by day. Pesa yako ukiiweka kwenye ardhi, ni uhakika hutojutia.
 
Back
Top Bottom