Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Kwenye giza unakutana na vingine ndivyo sivyo, acha hizo
Kilicho haramu kwako kwa wengine ni halali! hapo nitakuwa nimelenga penyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye giza unakutana na vingine ndivyo sivyo, acha hizo
Kilicho haramu kwako kwa wengine ni halali! hapo nitakuwa nimelenga penyewe
Pole sana umenifurahisha sana si ungewajibika tu Kuficha aibu yaani ma msapu wa ndoa au?mi mam sapu alikuwa ananiambia ohoo nakupenda hakuna mfano! nikaenda mahali kikazi mwezi mmoja tu kurudi ni 'mjamzito', kuuliza nani anayewajibika na ujauzito huo nikapewa jibu 'asiye kuwepo na lake halipo'
Hahahahaha mpwa naona unalenga kujiexpress
Ni vizuri isjefahamu kwamba humiliki mwenyewe hicho ulichonacho..lol mimi mke moja haitakaa nitoshekeI know nyumba ndogo zinajaliwa sana kuliko kubwa, imani yangu hairuhusu mitala na vile vile nina kinyaa sana siwezi share kile kitu. Nataka cha kwangu tu niwe nakimiliki mwenyewe.
yeah hamuaminiki tena ni mlokole pure kila mtu alikuwa anajua na mega pale siku ya kiama nihalalishe mambo nikatoswa hivi hivi tukarudi na bahasha zetu. Dawa sasa hivi nikumega tu mpaka kitumbo kijae
wakati mwingine ni ulofa ndo chanzo.....
XPIN,ZD,CARMEL ,NGULI Kaizer ,GP generation nasubiri mikasa yenu
xpin wewe inawezekana ushapiga kibuti mtu ktk mazingira ya utata
hapa mimi naomba useme!i can't wait to measure your degree aof AGRESSIVENESS!nimeshamtuma mtu aje na venia kalipa haraka sanaDah,mie ni mikasa mingi saaaaaaaaaana,sijui nianzie wapi?nimetenda na nimetendwa.Lakini leo sijisikii vizuri siwezi kusema ,nisamehe FL1.
XPIN,ZD,CARMEL ,NGULI Kaizer ,GP generation nasubiri mikasa yenu
xpin wewe inawezekana ushapiga kibuti mtu ktk mazingira ya utata
Mi kabla sijaoa wife akiwa bado chuo nikapata kabinti kadenti flani ka mitaa ya jirani. Nikawa najimegea kilaini. Siku wife (wakati huo mchumba) akatinga bila taarifa, wakati huo nilikuwa na promise ya kukamega kadenti. Balaa kabinti hakana simu. Tuko sebuleni na wife tunapiga stori mara ghafla kadenti kakaingia.... Nilitamani kuzimia. Kama kawaida shetani akanisaidia kusolvu problem. Nikakaambia kadenti.... Baba kasharudi toka kazini? Aliniambia akija nimuone kuna kitu anataka tuongee. Kabinti na kenyewe kakawa kajanja (sijui kalisaidiwa na pepo) Kakashtukia dili kakanijibu Ndio amenituma nije nikuite..... Mzee nikasevu zali. Hahahaha! Omba Mungu usifumaniwe! Ni disasta!
hahaha xpin wewe una visa sana mmh umeniacha hoi naamini hapo nguvu ya shetani ndo ilifanya kazi kumaliza hilo zali