mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Mimi mwenyewe tuu ni product ya mikasa ya mapenzi,yani imeshanitokea mingi mpaka nimeamua kuacha kupenda,siwafichi wanaJF,hata nikiwa na mahusiano na mtu kwasasa nitakuwa ni kwaajili ya kujishibisha hizi njaa zangu za mwili tuu na si upendo!!Am tired of being fooled bwana!!