Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

Mimi mwenyewe tuu ni product ya mikasa ya mapenzi,yani imeshanitokea mingi mpaka nimeamua kuacha kupenda,siwafichi wanaJF,hata nikiwa na mahusiano na mtu kwasasa nitakuwa ni kwaajili ya kujishibisha hizi njaa zangu za mwili tuu na si upendo!!Am tired of being fooled bwana!!
 
Geoff bado uko barazani nimepata tetesi Chrispin ametangulia kuaanda meza inakuaje ucje ukapitwa sorry out of topic.
lil flower mwenyewe!taarifa zako ninazo!sasa fanya kuni-piemu niwe na namba yako kabisa.ai em about to leave the place
 
Bajaj zina matatizo leo?
unajua leo sio geti-tugedha!isipokuwa nina neno nataka kuteta na hawa makamanda!pia tunataka kumuelekeza viwanja stahili kwa hapa mjini mpwa kaizer!so,kama unavyojua tena mamaa wa bajaji hatokuwepo!wala rasta-woman zd hatakuwepo!
 
OK OK

Pass my warm love to gals watakao pitia usawa wenu, waambie bado nimekamatika huku visiwani
 
Back
Top Bottom