Labda anataka ale chakula Na kukula Na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
DuhHabari wakuu,

nishawahi amsha saa sita usiku,et anahitaji mapera,nikatafutieHabari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
Tangu ujiunge jf leo ndo nimesoma kitu cha point kutoka kwako haya hongera zako nyingi zikufikie ulionyesha kujali hali ya wife aisee hapo pa kula ukanawia limao pamenigusa sanaMimba ya kwanza wife chakula chake kikuu ilikua ni mahindi ya kuchemsha aisee halafu ilikua ni msimu wa kiangazi hayo mahindi ni adimu. Na alikua hataki kusikia harufu ya chakula kingine. Siku nikasema ngoja nimtest na mbuzi katoriki aisee ile kusikia tu harufu alitapika hadi nilijua nimeua.
Hapo sasa ikawa kazi kuenda pembeni mwa mji kwenye vilimo vya umwagiliaji kutafuta mahindi mabichi aisee jalala lilikua linajaa vigunzii hadi majirani walikua wanashangaa.
Ilikua wife akichemsha mahindi kama kumi hivi akipakua kwenye sinia akikaa nayo chini kwenye kapet katandaza miguu utapenda [emoji16][emoji16] anavyo yachakaza utafikiri mashine na alikua hataki mtu amsogelee.akiamka hapo ni kwenda kutupa furushi la vigunzi.
Ikabidi niwe nakula kwa mama ntilie maana hivi vyakula vingine vilikua vinamchefua na nikila nahakikisha nimelamba limao na kunawa kwa limao kwani nikirudi nanukia ni msala. Kwa hiyo chakula chake kikuu kikawa ni mahindi ya kuchesha na uji wa unga wa dona na ndimu nyingi.
Ilipo fika miezi nane hapa kisanga cha mimba nikakibeba na mimi akiumwa miguu naumwa miguu ...akiumwa mbavu na mgongo na mimi hivyo hivyo bila kusahau kulala aisee nilikua nalala yaani nikisema nikae tu kitu [emoji23][emoji23]
Na siku Alio enda kujifungua ...mimi kiasili ni mgumu sana ila hii siku nililia sana kama masaa mawili mfululizo na hadi leo sijui nilikua nalilia nini. Na nililia huku nikisindikizwa na wimbo wa Roma...viva roma viva [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
....ila mwisho wa siku mtoto alitoka salama mama pia salama ...kijana alizaliwa akiwa na kilo 5 na point.
This comment is sponsored by Mahindi mchemsho
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna jirani yangu nae ilimtokea kama wewe iyo ya kulia alafu alikuwa ni mtu wa makamo tuMimba ya kwanza wife chakula chake kikuu ilikua ni mahindi ya kuchemsha aisee halafu ilikua ni msimu wa kiangazi hayo mahindi ni adimu. Na alikua hataki kusikia harufu ya chakula kingine. Siku nikasema ngoja nimtest na mbuzi katoriki aisee ile kusikia tu harufu alitapika hadi nilijua nimeua.
Hapo sasa ikawa kazi kuenda pembeni mwa mji kwenye vilimo vya umwagiliaji kutafuta mahindi mabichi aisee jalala lilikua linajaa vigunzii hadi majirani walikua wanashangaa.
Ilikua wife akichemsha mahindi kama kumi hivi akipakua kwenye sinia akikaa nayo chini kwenye kapet katandaza miguu utapenda [emoji16][emoji16] anavyo yachakaza utafikiri mashine na alikua hataki mtu amsogelee.akiamka hapo ni kwenda kutupa furushi la vigunzi.
Ikabidi niwe nakula kwa mama ntilie maana hivi vyakula vingine vilikua vinamchefua na nikila nahakikisha nimelamba limao na kunawa kwa limao kwani nikirudi nanukia ni msala. Kwa hiyo chakula chake kikuu kikawa ni mahindi ya kuchesha na uji wa unga wa dona na ndimu nyingi.
Ilipo fika miezi nane hapa kisanga cha mimba nikakibeba na mimi akiumwa miguu naumwa miguu ...akiumwa mbavu na mgongo na mimi hivyo hivyo bila kusahau kulala aisee nilikua nalala yaani nikisema nikae tu kitu [emoji23][emoji23]
Na siku Alio enda kujifungua ...mimi kiasili ni mgumu sana ila hii siku nililia sana kama masaa mawili mfululizo na hadi leo sijui nilikua nalilia nini. Na nililia huku nikisindikizwa na wimbo wa Roma...viva roma viva [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
....ila mwisho wa siku mtoto alitoka salama mama pia salama ...kijana alizaliwa akiwa na kilo 5 na point.
This comment is sponsored by Mahindi mchemsho
Linapo kuja swala family aisee ni kitu kingine kabisa. Na maishani mwangu nina sehemu tatu ambazo sina mzaha nazo hata kidogo ...Nyumba ya ibada......sehemu ninayo patia riziki....nyumbani kwangu .Tangu ujiunge jf leo ndo nimesoma kitu cha point kutoka kwako haya hongera zako nyingi zikufikie ulionyesha kujali hali ya wife aisee hapo pa kula ukanawia limao pamenigusa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo wengi[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna jirani yangu nae ilimtokea kama wewe iyo ya kulia alafu alikuwa ni mtu wa makamo tu
ExplainHabari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now
Siku nyingine atakuta vidole kwa huu upumbavu. Ukikataa atafanya nini?Habari wakuu,