karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 681
- 1,128
Labda anataka ale chakula Na kukula Na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wakuu,
Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia.
Hahaha
Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula, kwamba namkera nikila na nguo.
Nafanya ivo na maisha yanaenda 19 weeks now