Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu sio mwanaume..dah nimecheka sana

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Usicheke mkuu hawa wanawake hawa si ndio wanatulaza watupu vitandani. Kwa nini tusiwaogope
 
Nilishakutana na hii, sema mimi mzigo ulitumwa Kasulu. Sitapeliwi kirahisi hivyo
 
Mwenyekiti na yeye alikuwA tapeli?
 
Kuna GROUP 1 nimo.... namfuatilia kwa umakini yule mdada mwenye group mana kuna ORDER yng 1 iliFAIL akanirudishia hela.... ila kuna ORDER nyengine (December) mpk leo hajaDELIVER analalamika BANDARINI kuna changamoto sana sk hz.... namuangalia tu nijue km keshaniingiza KING ama....
 
Mloge kwan unatokea mkoa gani?
 
Hii nilisha letewaa shwagaa na mdada anaitwa Lisa Ni mmarekani anadai na anaishi afrganstan yeye Ni mwanajeshi Yani ilienda kama hiyo yako
Huyu Lisa mwanajeshi 'Mmarekani' anayeishi Afgahanistan aliisha kuja kwangu akakumbana na Maswali ya Kawaida tu, akaishia!
 
Kuna GROUP 1 nimo.... namfuatilia kwa umakini yule mdada mwenye group mana kuna ORDER yng 1 iliFAIL akanirudishia hela.... ila kuna ORDER nyengine (December) mpk leo hajaDELIVER analalamika BANDARINI kuna changamoto sana sk hz....
Yapo magroup ambayo siyo ya kitapeli
namuangalia tu nijue km keshaniingiza KING ama....
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kosa lako ulikuwa humjui mwenyekiti, Ni rahisi verify Kama mwenyekiti wa eneo unakotaka kununua kiwanja Ni yeye au sio yeye(tapeli)

Uliza wakazi wa eneo Hilo na watoa huduma eneo Hilo(dukani, bodaboda, etc) randomly ikibidi zaidi ya watu 10 mwenyekiti ni nani? kwake Ni wapi? na ofisi yake iko wapi? utajilizisha Ni yeye baada ya majibu utayojibiwa kufanana na kufika ofisini au kwake.

Mwenyekiti hawezi kufanya utapeli na anawajua wamiliki wa viwanja katika eneo Hilo,
baada ya kujirithisha unanunua kiwanja.
 
Ulimpa cash mkononi??
 
Umewakomesha! Hivi dola 5,000 zitumwe kwenye box ulisikia wapiii???( In Bwege's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…