Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

Binafsi kuna mtu kanipiga milioni kama 6 hivi na ushee takribani miezi miwili nyuma.

Kuna dogo wake aliweka tangazo la kuuza kiwanja sehemu fulani hivi Dsm. Baada ya kuwasiliana nae akanipatia namba ya huyo muhusika.

Tulipokutana akamuita mwenyekiti na mjumbe tukaafikiana na kufanya biashara.

Nikamtuma yule dogo wake aweke zile Bicon kubwa za kuonesha mipaka na gharama zote nilimlipa lakini kwa siku ile hakufanya na aliomba udhuru wa kwa nini hakufanya, nilimuelewa lakini kadri siku zilivyozidi ndivyo usumbufu ukaongezeka.

Nikaachana nae, nikaita fundi nikashusha material yote ya ujenzi baada ya kukamilisha msingi tu napigiwa simu kuwa kwa nini unajenga kwenye kiwanja changu...............

Baada ya kuwasiliana nae muuzaji wangu akanipa matumaini kuwa anakuja na aliyemuuzia yeye na full documents. Alikuwa anapokea simu na kuonesha ushirikiano nami lakini mpaka sasa hathubutu hata kupokea simu.

Nilienda ardhi na nikajiridhisha kuwa aliyeniuzia si muhusika. Yaani kichwa kinauma mpaka dakika hii.

Imenibidi nitumie laki5 nyingine kuhamisha tofali na mazaga mengine huku nikivunja ule msingi kwa gharama ya laki3..

Sijui hata hatua za kumchukulia huyu kiumbe. Halafu wala sio mwanaume.

Hao wenyeviti ungeanza nao,
 
Umewakomesha! Hivi dola 5,000 zitumwe kwenye box ulisikia wapiii???( In Bwege's voice)
Mtu anakutumia USD 5000 sawa na 11M TSh wapi na wapi? Hiyo faida ya kufika Mil 11 unakuja ipata lini?
 
Mimi nafatwa Sana inbox wasap wengine tupo nao memba baadhi ya magroup wananitaka urafiki, tusave contact zao, tujuzane hapa
 
Me kuna mmoja alinifuata inbox huko fb, akaniambia eti yeye ni muitaly
Nilipojaribu kumlilia shida ili nami niondokane na huu ukata
Alichoniambia nikwamba aniunganishe Forex trade
Nikakumbuka Kuna member wa jf walitapeliwa kupitia hii forex, nikamute ingawa alinibembeleza Sana ila nilimpoetezea

Note; kianzio alisema nitoe 1m
Kuna mtu kanitumia hii meseji whatsupp alianza hivi

"Hello my dear beautiful lady [emoji257][emoji112]you are here honestly looking good"

Code ya namba yake ni +229,nilipomwambia kwamba mimi sio lady umekose namba,akasema Okay, haina shida hata tukiwa marafiki tu,nikamwambia haina shida ,baadae akajitambulisha jina lake akasema anaishi Italy-liverpool.

Mimi sikutaja jina ila nilimwambia naishi Tz,basi kashukuru kwa kumuelewa.

Baadae usiku akanitumia tu meseji ya Goodnight brother,nilikuwa sijawasha data kwahio niliikuta asubuhi yake.

Baada ya hapo hajatuma tena meseji yoyote tangu siku hio Jan 22 2022.

Nilijaribu kuangalia hio code mtandaoni nikakuta kama ni nchi ya kiafrika hivi,kwenye Profile photo yake ameweka Mzungu.

Sasa huyu sijui nae ni tapeli au alikosea tu namba tu? na hio ni code ya nchi gani?
 
Kuna haya magroup mapya yamezuka huko WhatsApp;

"AGIZA NASI CHINA MOJA KWA MOJA TUKULETEE HADI NYUMBANI"

TV nchi 55 bei 600k.Unaambiwa kuagiza Hadi inakufikia ni siku 45.Ukiangalia hiyo bei iliyowekwa unaingia king unajaa kisha wanakuvua

Sheria zao wanazoweka..
Admin ndy anapost na hakuna sehemu yoyote ya mtu kuchangia au Kusema chochote..ukipigwa unalia kimya kimya na huwezi kuwasanua wengine ili wasipigwe Kama wewe,Mtu anapigwa kisha analia then analeft group kimya kimya[emoji3][emoji3]

Watu wakipungua kwenye group admin anaweka link Tu huko mitandaoni ili waongezeke aendelee kuwavua km samaki.
Huko matapeli ndy wamekimbilia

Sisemi magroup yote ya Aina hii ni ya kitapeli,ilaumakini unahitajika sn
Hatarious

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi kuna mtu kanipiga milioni kama 6 hivi na ushee takribani miezi miwili nyuma.

Kuna dogo wake aliweka tangazo la kuuza kiwanja sehemu fulani hivi Dsm. Baada ya kuwasiliana nae akanipatia namba ya huyo muhusika.

Tulipokutana akamuita mwenyekiti na mjumbe tukaafikiana na kufanya biashara.

Nikamtuma yule dogo wake aweke zile Bicon kubwa za kuonesha mipaka na gharama zote nilimlipa lakini kwa siku ile hakufanya na aliomba udhuru wa kwa nini hakufanya, nilimuelewa lakini kadri siku zilivyozidi ndivyo usumbufu ukaongezeka.

Nikaachana nae, nikaita fundi nikashusha material yote ya ujenzi baada ya kukamilisha msingi tu napigiwa simu kuwa kwa nini unajenga kwenye kiwanja changu...............

Baada ya kuwasiliana nae muuzaji wangu akanipa matumaini kuwa anakuja na aliyemuuzia yeye na full documents. Alikuwa anapokea simu na kuonesha ushirikiano nami lakini mpaka sasa hathubutu hata kupokea simu.

Nilienda ardhi na nikajiridhisha kuwa aliyeniuzia si muhusika. Yaani kichwa kinauma mpaka dakika hii.

Imenibidi nitumie laki5 nyingine kuhamisha tofali na mazaga mengine huku nikivunja ule msingi kwa gharama ya laki3..

Sijui hata hatua za kumchukulia huyu kiumbe. Halafu wala sio mwanaume.
Nina eneo mkuu,tujenge then tuishi wote.pole sana
 
Pole sana mkuu
 
Kuna mtu kanitumia hii meseji whatsupp alianza hivi

"Hello my dear beautiful lady [emoji257][emoji112]you are here honestly looking good"

Code ya namba yake ni +229,nilipomwambia kwamba mimi sio lady umekose namba,akasema Okay, haina shida hata tukiwa marafiki tu,nikamwambia haina shida ,baadae akajitambulisha jina lake akasema anaishi Italy-liverpool.

Mimi sikutaja jina ila nilimwambia naishi Tz,basi kashukuru kwa kumuelewa.

Baadae usiku akanitumia tu meseji ya Goodnight brother,nilikuwa sijawasha data kwahio niliikuta asubuhi yake.

Baada ya hapo hajatuma tena meseji yoyote tangu siku hio Jan 22 2022.

Nilijaribu kuangalia hio code mtandaoni nikakuta kama ni nchi ya kiafrika hivi,kwenye Profile photo yake ameweka Mzungu.

Sasa huyu sijui nae ni tapeli au alikosea tu namba tu? na hio ni code ya nchi gani?
+229

Nchi ya Benin
 
Binafsi kuna mtu kanipiga milioni kama 6 hivi na ushee takribani miezi miwili nyuma.

Kuna dogo wake aliweka tangazo la kuuza kiwanja sehemu fulani hivi Dsm. Baada ya kuwasiliana nae akanipatia namba ya huyo muhusika.

Tulipokutana akamuita mwenyekiti na mjumbe tukaafikiana na kufanya biashara.

Nikamtuma yule dogo wake aweke zile Bicon kubwa za kuonesha mipaka na gharama zote nilimlipa lakini kwa siku ile hakufanya na aliomba udhuru wa kwa nini hakufanya, nilimuelewa lakini kadri siku zilivyozidi ndivyo usumbufu ukaongezeka.

Nikaachana nae, nikaita fundi nikashusha material yote ya ujenzi baada ya kukamilisha msingi tu napigiwa simu kuwa kwa nini unajenga kwenye kiwanja changu...............

Baada ya kuwasiliana nae muuzaji wangu akanipa matumaini kuwa anakuja na aliyemuuzia yeye na full documents. Alikuwa anapokea simu na kuonesha ushirikiano nami lakini mpaka sasa hathubutu hata kupokea simu.

Nilienda ardhi na nikajiridhisha kuwa aliyeniuzia si muhusika. Yaani kichwa kinauma mpaka dakika hii.

Imenibidi nitumie laki5 nyingine kuhamisha tofali na mazaga mengine huku nikivunja ule msingi kwa gharama ya laki3..

Sijui hata hatua za kumchukulia huyu kiumbe. Halafu wala sio mwanaume.
Aisee huyo mtu kwa jins nilivyo sijui kama hadi saa hii angekua anaona dunia tamu
 
Ujinga wa wabongo ni kudhani kila mzungu ana hela ilihali kuna wazungu wana njaaa kushinda wabongo
Yaani wewe umeangalia tu hayo maandishi ukagundua ni mzungu? (Maana sidhani hata kama umesoma ukaelewa) ila kwa kuwa umesikia usa,umesikia kilichoandikwa ni kiingereZa basi ume conclude ni mzungu? Ninyi ndo hutapeliwa kirahisi sana. Maana hamjui kitu.na mnajua kila anayezungumza kiingereza ni mzungu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom