Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

Mkuu hapo ulikuwa unacheza na the same person namba tu anatofauti mm pia wiki iliyopita nilipigwa Ila nilikuja kushtua mchezo tayar nimeshavuja jasho[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hapo ulikuwa unacheza na the same person namba tu anatofauti mm pia wiki iliyopita nilipigwa Ila nilikuja kushtua mchezo tayar nimeshavuja jasho[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mi nilishtuka mapema, nikasema ngoja niende nao nione watakapoishia. Japo alitumia trick ambayo ni rahisi kumshika mtu.
 
Ndiyo mkuu wengi wao wanatumia ptr za wazungu kwenye prfl zao.
 
Upo sahihi kuna jamaa walipiga watu aisee hilo group nilikuwemo.

Walikua na kaofisi, business license na TIN number kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaonekana ww ndo hujasoma ukaelewa alichoandika mtoa mada unataka reference kwangu.
 
Duuh,Pole sana aisee

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Mi nilishtuka mapema, nikasema ngoja niende nao nione watakapoishia. Japo alitumia trick ambayo ni rahisi kumshika mtu.
Waliwahi kutaka kumpiga mtu wangu mmoja wa karibu bahati nzuri akaniambia.

Nikamwambia waambie wakupe tracking number tu basi. Wakasanda.

Yeye mwenyewe akaona kama namzibia ridhiki. Akaambiwa mzigo umefika zanzibar tayari kuna oesa ya clearance TRA nikamwambia waambie wakupe CONTROL NUMBER ya kulipia TRA, tena wakasanda.

Nikamwambia kaa nao mbali , utaumia. Sikutaka tena kumfuatilia sijui aliishia wapi na watu wake
 
Mle jicho huyo tapeli wa kike kupoza machungu ya pesa zako.
 
Ukishakuwa na experience ya kupokea mizigo toka nje hawakuwezi. Kuna sehemu tu wao watakwama.
 
Pole sana,Je huyo Mwenyekiti na Mjumbe nae umewachukulia hatua gani
 
229 ni code ya nchi ya Benin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…