Fungua kesi mahakamani ya madai itachukua muda Ila utapata haki yako tatizo watanzania wengi hawapendi kushtaki. Ila ana Mali gani? Kama Hana anakuwa Civil prisoner
Pia Kuna wale wakujifanya Usalama na wazee wa madini wanasumbua sana hapa mjini
Me Kuna siku nimetoka [emoji763] ghafla nikasikia kibabu kinaniita eti kinaulizia wapi wananunua madini