Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

Mimi nilisoma na jamaa wiki mbili kabla ya mtihani yeye Alikuwa hasomi kabisa, alikuwa anachukua vitabu vya sayansi na sisi tulikuwa uchumi, zilikuwa zikikaribia kama siku 5 kabla ya mtihani akija prepo anakuja na chaki.

Anaandika first eleven, yaani wa kwanz mpaka wa 11 kwenye matokeo alikuwa anasema hivi daaah mtihani huu kuna mtu namuona ananipania sana ngoja nimuonyeshe uwezo, anaanza kuandika golini nakaa mwenyewe namba moja namba mbili nampa mtu fulani. Mpaka wa 11.

Matokeo yakitoka alikuwa anakosea kuanzia namba 6 kushuka chini ila watu ni wale wale🤣🤣🙌🏻.

Hajawahi pata nafasi ya 3 yeye ni mbili au moja na anasema hakuna wakunipita humu.
Kwao kazaliwa peke yake na mama bado young sana.
 
• Alikuwa na kipaji sana huyo jamaa 😄,
• Wanafunzi mwenzio wanaweza hisi ni mchawi
 
Back
Top Bottom