Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

kuna mwamba kila mda anajmba yaan unaweza ukamuambia tu oya mwanangu jamba apo nakupa jero anatoa bonge la shuzi afu la mwendo kasi jamaa haishiwi nankijambo qmmke
Au alikuwa mtu wa viporo na maharagwe sana
 
Mimi nilisoma na jamaa wiki mbili kabla ya mtihani yeye Alikuwa hasomi kabisa, alikuwa anachukua vitabu vya sayansi na sisi tulikuwa uchumi, zilikuwa zikikaribia kama siku 5 kabla ya mtihani akija prepo anakuja na chaki.

Anaandika first eleven, yaani wa kwanz mpaka wa 11 kwenye matokeo alikuwa anasema hivi daaah mtihani huu kuna mtu namuona ananipania sana ngoja nimuonyeshe uwezo, anaanza kuandika golini nakaa mwenyewe namba moja namba mbili nampa mtu fulani. Mpaka wa 11.

Matokeo yakitoka alikuwa anakosea kuanzia namba 6 kushuka chini ila watu ni wale waleπŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ».

Hajawahi pata nafasi ya 3 yeye ni mbili au moja na anasema hakuna wakunipita humu.
Kwao kazaliwa peke yake na mama bado young sana.
 

Matokeo yakitoka alikuwa anakosea kuanzia namba 6 kushuka chini ila watu ni wale waleπŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ».
β€’ Alikuwa na kipaji sana huyo jamaa πŸ˜„,
β€’ Wanafunzi mwenzio wanaweza hisi ni mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…