Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

Nikiwa f5 nilikuta jamaa yupo f6 yeye alikuwa anslala saa 1 asubuhi anaamka saa 12 jion anaingia kusoma usiku kucha alinyosha div 1 ya kwanza ila ilikuwa na nyota nlikuja kumwona posta baada ya miaka 15 ni shoe shiner. Miaka ya 2000 alikuwa na soni erikson mkonga
 
Jamaa alisoma kwa tabu sana 😟, Na bado maisha ya mtaani yakaendelea kuwa ya tabu vile vile 😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…