Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Nikiwa f5 nilikuta jamaa yupo f6 yeye alikuwa anslala saa 1 asubuhi anaamka saa 12 jion anaingia kusoma usiku kucha alinyosha div 1 ya kwanza ila ilikuwa na nyota nlikuja kumwona posta baada ya miaka 15 ni shoe shiner. Miaka ya 2000 alikuwa na soni erikson mkonga