LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua hivo alikuwa amevaa malapa.
Nikaenda kumchukulia nikamkuta ametoka nikafungua geti nikamuona yupo mita kama 200 hivi anaendelea kutembea nikarudi zangu Kutazama movie, si akamuagiza mtu aje aniambie nimpelekee viatu nikagoma kabisa nikaenda kulala.
Aliporudi mbona akawa mpole mwenyewe.