[emoji4][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Me nilichelewesha kurudisha trekta kwa boss,halafu nilikua na mwanae hakuuliza sababu ya kuchelewa akaanza kunigomba na matusi juu.
Tena mbele ya mke wake,hausi gelo,mabinti zake aaah,me nkaona hizi dharau sasa
Nikavugumisha kifunguo kwenye maua halafu nikaondoka huku nikirusha mikono,maneno makali yalinitoka hata hakuamini alibaki ameduwaa...
Nakumbuka wakati napotea getini nilisema "ki trekta chenyewe ki sonalika oldi modeli ndio chakuninyanyasia ungekua na bombadia si ungetaka nikusugue mgongo wewe,potelea mbali"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilichelewesha kurudisha trekta kwa boss,halafu nilikua na mwanae hakuuliza sababu ya kuchelewa akaanza kunigomba na matusi juu.
Tena mbele ya mke wake,hausi gelo,mabinti zake aaah,me nkaona hizi dharau sasa
Nikavugumisha kifunguo kwenye maua halafu nikaondoka huku nikirusha mikono,maneno makali yalinitoka hata hakuamini alibaki ameduwaa...
Nakumbuka wakati napotea getini nilisema "familillah wallah ki trekta chenyewe ki sonalika halafu oldi modeli sio chakuninyanyasia mimi, ungekua na bombadia si ungetaka nikusugue mgongo wewe,potelea mbali"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaajMe nilichelewesha kurudisha trekta kwa boss,halafu nilikua na mwanae hakuuliza sababu ya kuchelewa akaanza kunigomba na matusi juu.
Tena mbele ya mke wake,hausi gelo,mabinti zake aaah,me nkaona hizi dharau sasa
Nikavugumisha kifunguo kwenye maua halafu nikaondoka huku nikirusha mikono,maneno makali yalinitoka hata hakuamini alibaki ameduwaa...
Nakumbuka wakati napotea getini nilisema "familillah wallah ki trekta chenyewe ki sonalika halafu oldi modeli sio chakuninyanyasia mimi, ungekua na bombadia si ungetaka nikusugue mgongo wewe,potelea mbali"
Dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Me nilichelewesha kurudisha trekta kwa boss,halafu nilikua na mwanae hakuuliza sababu ya kuchelewa akaanza kunigomba na matusi juu.
Tena mbele ya mke wake,hausi gelo,mabinti zake aaah,me nkaona hizi dharau sasa
Nikavugumisha kifunguo kwenye maua halafu nikaondoka huku nikirusha mikono,maneno makali yalinitoka hata hakuamini alibaki ameduwaa...
Nakumbuka wakati napotea getini nilisema "familillah wallah ki trekta chenyewe ki sonalika halafu oldi modeli sio chakuninyanyasia mimi, ungekua na bombadia si ungetaka nikusugue mgongo wewe,potelea mbali"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haikunitokea mimi ila rafiki yangu tulikuwa sehemu moja alipigwa kofi na bosi kwa sababu alisahau kuingiza yale mabegi ya salfeti yana picha ya daraja la uingereza sijui yale.
Rafiki yangu aligeuka, akaanza kutetemeka kwa hasira huku analia. Akamvamia akamtwanga kweli bosi huku analia. Bosi akaomba msaada huku anasema naua mtu njoo mnisaidie! mimi nikakimbilia kwenye upenyo fulani nikaanza kucheka.
Kumbe kuna wamama waliniona wakamwambia boss wetu kwamba nilikuwa nacheka upenuni wakati bosi anakula kipondo.
Siku ya tatu nikafukuzwa kazi bila sababu ila nikajua ni yale yale.
Mwaka 2018 tulikutana na yule bosi nikamkumbushia lile tukio aisee bosi bado ana hasira wakati tukio lilikuwa la 2004 huko tena mkoani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ulikuwa na hasira za waheheMe nilichelewesha kurudisha trekta kwa boss,halafu nilikua na mwanae hakuuliza sababu ya kuchelewa akaanza kunigomba na matusi juu.
Tena mbele ya mke wake, hausi gelo, mabinti zake aaah, me nkaona hizi dharau sasa.
Nikavugumisha kifunguo kwenye maua halafu nikaondoka huku nikirusha mikono, maneno makali yalinitoka hata hakuamini alibaki ameduwaa.
Nakumbuka wakati napotea getini nilisema "familillah wallah ki trekta chenyewe ki sonalika halafu oldi modeli sio chakuninyanyasia mimi, ungekua na bombadia si ungetaka nikusugue mgongo wewe, potelea mbali"