Kwanj mabosi tuliowah kufanyiwa dharau na wajakazi wetu tunakomenti wap!?
Binafsi niliwahi kufanyiwa dharau kubwa sana na mfanyakazi wangu Miaka hiyo sitasahau kabisa
Kuna dogo nilimuajili kazi kwenye bar yangu kubwa tu Sasa siku Moja nimeenda kwenye hiyo bar nikakutana na pis Kali hatariiii nikaicheki dogo akaniuliza vip boss nimalize mm nakasema maliza jioni Kila kitu kiwe sawa.
Narudi jioni namuuliza dogo vip umemaliza dogo ananiletea daftar la mahesabu niliona dogo amenidharau sna nikawasha chuma nakuondoka kuja kujua baadae kumbe dogo alikuwa anakula mzigo.
Guess nilifanyaje