Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Hongera sana kwa kuniwakilisha
 
Hahaha ilibidi nikimbie tu na kukata mawasiliano baada ya kutoka pale.
 
Mkuu kumkataa mtu kisa meno... That's too much mzee..

Tujifunze kuishi poa na binadamu wenzetu... Wala haitugharimu kiasi chochote cha pesa kuwa nice kwa wenzetu...

Hii dunia tupo misele... Muda wowote,, unaweza kuwa yeyote,, so be humble..
📌📌📌📌📌
😘😘😘😘
 
Babe umeandika mazito sana jaman🥺🥺

Hivi kwani ile nia yako ya kunifuatia imekatikia wapi babe..

Nifuate bhana we naeeeee.

Seriously..siku hizi tu napenda na kuheshimiana kwa kuwa unanini?wewe ni nani!
Ni ngumu sana kumtengenezea mazingira ya uhalisia mtu ambae tayari anakuwazia tofauti.

Kwanini unaweka malengo makubwa kwa mtu?naogopa kumuumiza mtu au kujiumiza.

Ni huzuni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah... Je kama ndo ilikuwa rangi ya meno yake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Rasta Woman
 
📌
 
Kwa upande wa wanawake, unaowaona kwenye mtandao kiuhalisia sivyo walivyo.
 
Kinachotuponza ni dharau tunasahau hujafa hujaumbika
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndo hapo nitakapokulisha block honey na wala hutoamini

Kiukweli kabisa Hii si Sawa ingawa % ya watu humu ndani tu naonekana tunamaisha mazuri kiuhalisia sio kweli watu wamesahau hata cameras jamani Na filters msitufanyie hivyo basi🤣🤣tusitirini jamani lo.

Inasikitisha,inaumiza na kushangaza lakini mwisho wa yote n jinsi ambavyo umetengeneza mazingira ya kukutana na huyo mtu wako wa mitandaoni.










Kikweli kabisa wewe msukuma hata kama ni mzee 💯nitakukubali wewe ingawa kuna wakati unazingua😁


kuna kupenda-ukapendwa
Kuna kupenda-mkapemdana
Kuna kupendwa usipendwe
Kuna kupendwa usipende
Kwakweli mambo ni mengi ma
Muda hautoshi

#letlovelead#
Ni hisia tu😁😁
 
Kinachotuponza ni dharau tunasahau hujafa hujaumbika
Hii ndo shida kubwa itukumbayo sis
hakika,bora uzuge hata siku mbili tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…