Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Sanaaa
 
Embu nitumie VN unielezeee. Maana nimesoma maandishi mengi nikaacha kusoma

Itakuwa alikuoulizia ule Moshi ndo maana ukapata ujasiri kula mbususu ya Rasta woman
 
Duh hahahaaa wee bwana ni shidaaa
 
Kucha za miguuni kama zimegongwa na mawe
 
I miss you.So long
 
Mzee inaonekana old school saana, Things have changed, Wanawake wa siku hizi wanapenda hela kwanza mengine yafuate
 
Yaani una mambo ya kishamba sana...mi nilidhani hata unaongea kitu Cha maana
 
Busara thabiti na ubarikiwe sana.
 
niliaprochiwa na manzi mkali sana niliona nimewini kumbe alikua GASHO[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haijawahi kutokea na haitokaa itokee kwakuwa sina mategemea makubwa kwa mtu yeyote ninayekutana nae mtandaoni.kumkimbia au kumblock mtu ni kwa kuwa umeweka mategemeo makubwa mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea mic saan yaan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…