Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Kuna Mwana alifahamiana na demu fb tukiwa Chuo akafunga Safari mkoa mwingine kumfuata Manzi,alipofika stand baada ya kumuona huyo demu jamaa alimkataa demu ikabidi aende lodge alale kesho yake arudi Chuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajui kuwa wewe ni boss boss wa kampuni kubwa.
Huu mwaka ni wetu aiseeee.
Aunt nakarbia kumaliza chuo, nfanyie mpango wa kazi bas, ila UN natak ndo ntakua huru kule, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mic u xaan aan [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Maana yangu ni kwamba huijui kesho yako. Usijiapize kwa jambo ambalo kuna muda maamuzi yake hayategemei utashi wako bali hisia zako ndizo zitaamua. Muhimu ni kuomba Mungu akuepushe na kikombe hicho kwakua hapana mtu anapenda kuharibu maisha yake lakini hutokea tu.
 
Pamoja sana Chief 🥂
 
Aunt nakarbia kumaliza chuo, nfanyie mpango wa kazi bas, ila UN natak ndo ntakua huru kule, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mic u xaan aan [emoji8][emoji8][emoji8]
Shenziiiiiii eti utakuwa huru.
Inabidi uongee na Mzigua90 maana ana shosti yake yuko UN ni boss pale na ni shosti yake hasa.
 
Shenziiiiiii eti utakuwa huru.
Inabidi uongee na Mzigua90 maana ana shosti yake yuko UN ni boss pale na ni shosti yake hasa.
Hapo sasa, ndo uni connect na Mzigua90 ili nipate mchongo, nktoka tyuuh chuo direct kazin, nisizunguke road na bahasha, ntashindwa kuepuka vishawishi ujue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ulienjoy sio poa na ukawa unalelewa sio poa, au vipi sio poa?!
 
Wewe ni wa barabara ya ngapi Tanga?
 
Nobody would have spoken it better.[emoji122][emoji122][emoji122]

Kiukweli badhi ya wanaume wengiii humu wamezidi kukosoa wanawake na binafsi wanajisahau kuwa wao wana kasoro kibaoooo ..
Mie naona women wenyewe ndio wa kwanza kujikosoa. Angalia hizo make ups these days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…