Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
 
Daah demu alikuwa na picha nzuri aisee kipindi hicho nipo facebook lakini cha kushangaza hajawahi piga picha full body nilimtongoza akaingia kingi

Na zile picha zangu za nguo za sikukuu kaelewa show siku nakutana naye inaonekana kazaliwa mguu mmoja mfupi kwahyo kiatu kimoja kina soli ndefu hapo hapo niligeuza sikumsemesha alishangaa nafika home nikaenda mblock


Mi Ni mroho wa pussy ila ile hapana ila kama kuna baharia anataka aitombeee aseme tu nimpe username yake FB na description

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Exactly
 

Naamuru rasmi hili bandiko liwekewe lamination na litumike kujibia mtihani utakaoanza j3.
Voda wawatumie wateja wao kwa sms
 

Lazima atakuwa muhaya huyo.

Sijui wanashida gani Hawa watu wa kagera Wana meno ya njano ya kutosafishwa vizuri.
 
Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujafa hujaumbika, af sio vizuri khaaah
 
Uko sahihi kabisa alimkosea sana huyo binti ! ,alikuww selfish... mtu anajali hisia zake tu na hajali hisia za watu wengine wanaomzunguka
 
Kula tano mkuu

Umeandika kibusara sana
 
Unamkimbiaje mwanadamu mwenzako...

Kama unataka kukutana na viumbe wazuri, funga safari kwenda mbinguni ukakutane na malaika...
Kbala ya kukutana na malaika atakutana na kiongozi wa malaika
 
Kaburi umeliona mkuu?

I'm joking.
Tulikutana juzi tu ila single moma kadata kadatuka kwa mnako,anyway ngoja nimpe kampani coz nime muintaview yupo vizuri kichwani, mumewe alishakufaga uko
 
Sema pia it's high time wanawake wabadilike wajikubali.

Picha wanazopost kwenye socio zao kama IG hazina uhalisia kabisa..wanajiedit waonekane extremely beautifull na shida zinaanzia hapo..

Wale wanaokutana bila kutumiana picha hao hawana shida..Kumkimbia sio vizuri..atleast kuzuga basi hata kwa wiki kadhaa
 
Sawa kaka D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…