Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

Sijawahi...

Ile siku ya kukutana ni Full mahaba mwanzo mwisho...

Kananijua kenyewe...
 
Nikipata muda nitaandika hapa kilicho nitokea juzi hapa daresalama kwny jiji la joto.
 
Ukorofii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umezungumza kweli yote.
Tunawaza ngono muda mwingi sana ndio matokeo yake haya.
Kila mtu ana ujazo wake,wengi humu ukitusoma hatuma makosa,wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…