Umewahi kumkomoa msichana wakati wa kufanya mapenzi?

Mie nakumbuka enzi hizo miaka ya 90 natoka mkoani kwetu kwenda mbali kutafuta maisha huku nikimuacha demu wangu tuliyependana nikimuahidi ningerudi mambo yangu yakikaa poah.
Cha ajabu after one year narudi nakuta kaolewa na askari polisi mmoja hivi niliumia sana nikaomba atafute muda aje ghetto anipe japo nikumbushie basi siku hiyo mmewe kaingia kazini shift ya usiku demu kaja ghetto tuliongea mengi akaomba nimsamehe na kwamba aliamua kuolewa baada ya mimi kuchelewa kurudi na maisha kwao yalichange ghafla baada ya mamake kufariki na baba yao akaoa mke wa pili hivyo changamoto za maisha zilimfanya amkubalie huyo polisi amuoe na muda wote amekuwa akitumia njia za kuzuia mimba ili asizae na huyo jamaa.
Niliamua kumsamehe nikawa nakula mzigo kila tukipata chance ila sijui shetani gani aliniingia nikajikuta naanza kumla "tigo" kwa kumkomoa mpaka ikafikia akazoea kabisa!
Ni muda nilishaondoka pande hizo ila mara ya mwisho tulionana Dar mwaka jana mwishoni anasema eti nilimuacha na mimba na alizaa mtoto wa kike ila mmewe hajastukia mpaka leo wana jumla ya watoto watatu akiwemo huyo mmoja wa kwangu.
..kweli maisha safari ndefu.!!!
 
hii ndo kukomoa mengine ya sijui masaa ni kujikomoa tu
 
hii ni balaa kweli
 
kazi ipo
 
yani ukioa mwanamke aliyekuwa commited kwa mtu matokeo ndiyo hayo kupewa mtot asiye wako....dah mi nisingeacha ningelianzisha namtaka mtoto wangu
 
Elastic material vs lemumbembe [emoji3][emoji3][emoji3] wapi na wap
 
alinicheat, Nikajiweka sawa, akaingia kwenye 18, Nilimpiga miti mitakatifu hatokaa anisahau mpaka anakufa
 
Daaah! Hivi kweli shetani yupo au sisi ndio mashetani wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…