K-wire
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 278
- 288
Huu ni uongo mkubwa naona mnaongea kitu ambacho hamkifahamu kabisa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ingia youtube jisajiri kama adult yaani 18+ kisha pata somo la anatomy ya mwanamke, genital parts.
Kuna eneo la wazi ndio shahawa huwa zamwagwa kisha kuna katundu kadogo sana kwa juu ambapo ndio fellopian tubes zinaanzia. Mbegu lazima ziingie hapo ndo zisafiri zikatunge mimba. Wakiziwahi zikiwa hapo chumbani kabla hazijafika ktk hiyo njia chances za kutofika ktk fellopian tube ni kubwa.
Sio njia ya 100% ila it works.
1. Kama demu wako huwa anajikamua hata baada ya kufanya mapenzi kwenye siku ya hatari harafu hapati mimba wewe mwanaume mengu zako zitakua na tatizo.
2. Labda huwa mnafanya siku ambazo sio za hatari
3. Basi Huyo mwanamke atakua tasa