Nilikua na demu mmoja anatokea arusha huko ila tulikutana iringa katika harakati za maisha, tukawa na mahusiano nae ile kibishi,
baada ya kama mwaka mmoja yule demu akadaka mimba akarudi kwao arusha mi nikarudi zangu mbeya (baada ya kumaliza nilichokua nafanya iringa) mwanzoni mambo yalikua poa tu, karibu kila wiki natuma pesa ya kutosha tu kwajili ya matumizi na maandalizi ya kumpokea mtoto though sikua na mpango wa kumuoa kabisa yule demu.
kuna wakati akaniona kama bwege flani hivi anataka anipande kichwani, ananiambia niende kwao nikajitambulishe, mi nikamuambia asahau hilo suala, basi kajifanya ku-mind kaanza kuniporomoshea mimatusi.
ikawa kama dozi mzee, kila siku asubuhi mchana jioni lazima nipokee meseji hata zaidi ya kumi za kunitukana, ikafika hatua akaanza hadi kunitukania wazazi alafu mi nikawa na mchora tu [emoji23]
Nakumbuka kuna siku nikavunja ukimya, nikamwambia wewe lazima nije nikutomb.e tena ndio akili ikukae sawa, akakataa hadi kujiapiza kwa mizimu ya babu zake waliokufa, huku akinitukana kila aina ya tusi analolijua yeye mengine ya kichaga mi hata nilikua sielewi. [emoji23]
nilichokua nakifanya mi nilikua na screen shoot huo utumbo wake then na save google drive.
baada ya miaka kama miwili mbele akaja akapata kazi tena huku huku mbeya, niliposikia yupo mbeya nikamtafute kwa simu, basi nikamuomba sana tuonane japo alikua anazingua ila nikambembeleza kama mwezi mzima baadae kajiroga kakubali kanambia niende kwake.
Nakumbuka nilipiga ile shoo ni hatari usiku kucha, kesho yake nikaondoka nikiwa njiani narudi kwangu nikachukua zile screen shoot alizokua anajiapiza nikamtumia whatsaap alafu nikamuambia uwe na adabu mi nimwanaume naweza kukufanyia chochote haijalishi itachukua muda gani.
basi demu hataki hata kunisikia saizi japo ana kinda langu.