Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Hicho nikitu kibaya Kwa mwanaume na huji hisi labda yeye nidhaifu ndo maana unatoka nje.
Yaan hapa ndio umeongea point na hiki ndicho kinachomsumbua jamaa kwamba yeye ameonekana hana Cha kumpa huyo mwanamke na ukizingatia anasema kabisa kwamba wiki nzima alikua na upwiru anataka kupewa duduwasha Ila mume anaumwa kwa hio akawa analisaka duduwasha jingine limkune akakutana na hilo la kazini kwao likaenda kumkuna just imagine mke wa mtu unapigwa mashine masaa 4 simu zinapigwa sms zinatumwa mamen, wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika
 
Sii alidakwa unadhani asinge dakwa asingerudi kupata utamu wa de libolo la kijana
Hakuwa anashiba nyumbani ndiyo maana alihadaiwa naye amejihadaa kushituka kaliwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nipe namba ya jamaa wako wa ofisini nimtumie radi ya elf tatu
 
Sasa utafanyeje ndugu yangu? Kufanya vinginevyo ni kujidhalilisha tu!

Unatimua huyo mchapwa unatafuta msaada wa kiroho na kisaikolojia ukiona uko sawa unajaribu kudeti tena...na maisha yanaendelea....
Moyo una kazi gani mwilini ?
 
Ukipendwa pendeka to yeye, wengi huwa hawapendi. Leo ngoja nikuambie tena watu wasijue, umependwa sehemu tena umependwa sana. Kazi kwako
Nimekuelewa kabisa,Yaan kabisa πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wanaume wakichapiwa ile fikra hudumu milele na milele amina.
Ulikosea kikiri na kuomba msamaa
Ndo siku hiyo mmeo alikuona wewe na mbwa hamna tofauti.
Siyo hivyo tu. Jamaa baada ya kuona sketi imelowa utelezi alimshika na kumkagua kwa nguvu. Taswira ya mbususu ya mkewe alivyoikuta siku ile baada ya mwamba kuitandika kwa masaa manne (kumbuka shughuli ilikuwa kubwa) haitakaa iondoke akilini mwake na atakufa nayo labda aje apate dementia au Arzheimer....
 
Hakuwa anashiba nyumbani ndiyo maana alihadaiwa naye amejihadaa kushituka kaliwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona hajasema kuwa alikuwa hashibi yeye kasema mume alikuwa anaumwa kwa wiki so hakupata utam
 
Wanalika sana.maofisini. Kuna rafiki yangu anakula mke wa mtu, anafanya nae kazi. Tena mume wake akisafiri huwa anenda kulala nae kabisa mpaka morning
🀣🀣🀣🀣🀣 Hataree
 
Sasa wewe unataka kumpoteza mwenzio kabisaaa! Kitendo Cha kufanya hivyo(kumpa tigo) kitamuongezea jamaa maswali zaidi maana hiyo itakua ni tabia mpya ndani ya nyumba
 
Wanawake ambao mpo ndani ya ndoa. Ushauri wa bure. Usijaribu kucheat mume. Kosa la kucheat huwa halina msamaha kwa mwanamume. Anaweza kujusamehe kwa mdomo ila moyoni huwa haitoki kwa sababu hakuna kitu mwanaume anakilinda kama mke sasa akigundua kuna mshenzi kachana nyavu huwa hakuna msamaha.
Ukiona hivo bora kuwahi kuomba talaka sababu utateseka maisha yako yote yaliyobakia
 
Dada na kumuomba Mungu pia,mie nishaapa sichepuki lakini nasema peke yangu sitaweza Mungu atie mkono wake dunia inavishawishi hii,acha kabisa
Vumilia kipenz,ukishakuwa penzini na mtu hupaswi kuwa na mtu tena...hata ivo hakuna jipya just focus na kuitunza familia
 
Unaongea rahisi kwasababu hujaoa na hujui uchungu wa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…