reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Ushauri wangu we endelea kua mke mwema tu,muwazi na mpende Sana tu..Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Hakuna namnaa hapo ya kufanya ila mmegundua Wanawake wanaopewa Kila kitu Ndo wanaongoza kuchepuka etiii