Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Ushauri wangu we endelea kua mke mwema tu,muwazi na mpende Sana tu..
Hakuna namnaa hapo ya kufanya ila mmegundua Wanawake wanaopewa Kila kitu Ndo wanaongoza kuchepuka etiii
 
Omba mtengane kwa muda hata miezi kadhaa. Mweleze unataka kumpa muda apone majeraha yale akishakua sawa mrudi kuishi kama zamani. Akishindwa basi itabidi muachane.
 
Generally nyie wanawake ni dhaifu sana( japo sio wote) Always hamjui kitu mnachokitaka in life, japo umejutia kosa lako.
Yani wiki moja tu inakushinda kuvumilia? Hivi mtu usiyempenda unawezaje kuwa wett akikushika? Yani unawekewa mtego rahisi na unajaa 100?
Watu wanaenda kozi miezi 3 msituni , unarudi mke yupo ngangari kinyama, watu wanaenda OP Darfur huko, mke anabaki meizi kibao hapigwi dushe ( japo wengine wana cheat)

Anyway wa kulaumiwa ni huyo dogo , hakika jamaa angedeal na huyo mpuuzi wa kazini kwenu kwanza.
Hum. Kudeal na huyo wa kazini. Kama mwanamke Malaya Malaya tu kunguru afugiki. Utagombana na Dunia nzima sababu ya mkeo
 
Amelowa , amelowa amenyeshewa na mvua....

Sijui Kwa nini sijakuonea huruma ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]kaahhh...uko na ubaya dadaaa
 
Ni kweli kabisa,Imagine mtu analia baby hapohapo si utasema anaigiza?tena ikiwezekana aache kujiliza,imagine mwanaume alikuwa anatoa mpaka machozi,baada ya usaliti anaona kumbe inawezekana simridhishi ko hata ukijiliza anaona unafiki mtupu.
Yaani we ACHA tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ila kuchitiwa kunauma sanaa
 
Kama huyu mwenye Uzi ni Mpuuzi mmoja....Yaani Hana hata haruma kalowalowa tu kizembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu hajawahi chiti,Hana exposure yaani mzembee
Niliwahi panga na dada mmoja yule anacheat balaa,basi akienda anaondoka na kipande Cha ndimu akimaliza anapaka K inakua mpyaa
Kuna siku jamaa alimshuhudia dada anaingia gesti akampigia mmewe bwana,mwanaumee karudi ghafla uzuri dada alikua kasharudi nae ,akamuambia nipe mzigo mke wangu akampa,jamaa lilivo jinga akamuambia Fulani kaniambia kakuona UNAINGIA gesti ndo nilitaka nijue km imetumika[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] kumbe kanidanganya... baadae anatuambia Sasa kaah
Huyu Bado mshamba na hajui masikini
 
Kabisa Kuna jambo lilimpeleka....

kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?

Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Joanna kahhh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kabisa Kuna jambo lilimpeleka....

kwanza alikuwa na haraka gani na hiyo laptop?

Pili Kama hakuwa na Nia ya ku cheat kilichomfanya akae mpaka saa mbili bila hata kuwa na uwoga kuchungulia simu ni Nini?
Alipigwa mashine hadi kalegea na akajikuta kalala.
Haya mambo yapo lkn mmmj
 
Mwambie atafute nyumba ndogo ILI atulize mawazo yake!muahidi kuwa huto fuatilia tena atafute pis kali KABISA!!!

Tanya hivyo utanishukuru baadae!

Kisasi PEKEE ndicho kitakuokoa!mwambie unampenda sana ndio maana umemshauri hivyo!ila atumie kondom kuepuka magonjwa!

Atakushangaa sana!halafu atakupenda TENA!nyumba ndogo ndio itamsaidia la sivyo kisirani maisha yenu yote!
Weeeee..kaah
 
Back
Top Bottom