Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Basi kama umejua ni ngumu mke wako kukucheat jioni na akarudi usijue yaani hata aoge vipi lazima utajua tu....

Wengi hucheat mumewe akiwa safarini tena kwa umakini mkubwa, maana wanaume wengine kitaa wanaeka spies wa kuangalia.
 
Umri huo unaambiwa twende geto ukachukue laptop yako na wewe unakubali tu, wakati jamaa alikua anakufukuzia muda mrefu.
W t.f were you thinking ?
Malaya alipoambiwa njoo uchukue alikua anajua kabisa huko anakoenda anaenda kutombwa sio kwamba alikua hajui angekua sio Malaya na kweli hataki kutombwa sababu anaheshimu ndoa yake angepunguza mazoea angemwambia jamaa ailete kesho yake au wakutake sehemu ampatie sio kwenda nyumbani kwa bachelor unategemea nini na anakufukuzia km sio kwenda kutombwa tu huko unaishia kua Malaya uzeeni
 
Halafu kwa hali hii bado kuna mijitu inaoa tena kwa kufunga ndoa kabisa![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ushauri wangu nakupa ni huu. Usipende kuuza furaha yako, wewe achana naye yaani rudi kazini au tafuta kazi lea wanao.

Nakushauri mapema achana na huyo jamaa he will never get back kama unavyomjua ila wewe ulipo unauza furaha yako kwake na hainunui.

Ukishindwa kuachana naye you are dying hard, pesa ni nini dada wewe muache.

Utakuja kujuta mbele usipo fanya hivyo......yajayo yanafurahisha yaani hapo alipo ana uhuru balaa wa kutoka na wanawake hata kumi 10 ndiyo wanaume tulivyo tuna mihemuko fulani baada ya kitu.
 
Mbona mwandiko kama wa hausi gelo hivi...
 
πŸ“Œ
 
Fanya hivi ondoka kwa muda wa mwezi rudi kwenu atakumiss kaaa hata miezi miwili power yako itarudi
 
Asante sana.
 
Kijana , Yesu mwenyewe alisema ndoa ivunjwe mwanamke akizini au kutoka nje ya ndoa. Yesu alikuwa anajua nini humtokea mwanaume pale ambapo mke wake akicheat.
Kiufupi amefeli sana na kumrudisha mwanaume hiyo haipo.
 
Yesu mwenyewe alisema mwanamke akizini ni ruksa kuvunja ndoa.
Unaweza msamehe mkeo ila usimpe tena attention, muonyeshe ukatili na wala usimjali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…