Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kwa taarifa yako mi ni men
 
Yaani anatoa ushauri wa kimalaya!
 
Ah huyo lazima ajinuonge kama sio kua mke.
Thats why always always have a side chick...having a wife alone with no mchepuko is a recipe for disaster i tell u
Regardless; bado ukichapiwa lazima uumie. 🤣
 
Alitegewa kitu nyumbani kwa jamaa maelezo yake hayajajitosheleza aeleze vizuri alikuta Nini nyumbani kwa jamaa au jamaa alikua anatembea uchi huku dushe limetuna na ukizingatia yeye ana upwiru wa kifurushi Cha wiki
Alijipeleka kuliwa.
 
Sisi wanaume tukishajua mwanamke umecheat na moyo nao unavunjika vipande vipande.

Mwanaume wako hapo kila akitaka kufanya tendo na wewe anafikiria," Hivi yule mbwa nae alipewa utamu kama hivi? Yaani kuna kipindi ilichomoka na mke wangu akaiwahi na kuiingiza tena mtanange uendelee huku akiililia?"

Daa.. kiufupi inakuwa ngumu kurudi vile mwanzo iwe na ndio maana tukijua na kupata ushahidi usiotia shaka huwa hatusamehi.

Kiufupi inatuharibu saikolojia yetu na tunakuhesabu sio trustworthy patner anymore zaidi ya kuwa msaliti tu. KUJERUHIWA MOYO KUNAUMA SANA


Your browser is not able to display this video.
 
😆😆kuoa muhimu masela.. Matukio kama Haya yapo tu na hayajaanza leo, tutengeneze familia zetu bila kujali yaliyowahi kutokea, yanayotokea na yatakayotokea...
Sijaoa Ila kutombewa kunauma japo sjawai kufanyiwa hivyo.
Kuna manzi angu aliliwa na msela wangu baada ya kwenda advance nliporudi nikapata habari kilichofata😂😂japo Huyo demu nlikua Sina ata mpango nae ila nlivyoskia kamla nlimind knoma... Maamuzi yangu waga ni mawili tu kuachana na msaliti na kulipiza kisasi kwa alienifanyia roho ndo itatulia
#Kuoa tusiache#
 
Ukiwa lofa ndiyo yatakukuta hayo. Inategemea na umri wa watoto
 
Mzee unafikiri mtu anakufa kufa tu hovyo hovyo eeh?
 
Huo bdiyo uchafu wa uzinzi.

Umelikoroga sasa ulinywe. Mtaishi na hilo donda mpaka kufa.

Salama na kuponesha hayo majeraha yenu ya uzinzi ni kuachana tu, kila mtu atazame maisha yake, libaki kovu tu.
 
MAOFISINI KUTIA NA KUTIWA NI KAWAIDA SANA. HAKUNA MKE WANTU WALA MUME WA MTU.

NDOA ZA SASA NI ZA MISHIKAKI

VIJANA ENDELEENI KUOA
 
It takes ten years kurejesha uaminifu.
Sarah mzuri vumilia hiyo miaka na jitahidi u develop tabia mpya na njema kwa mmeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…