Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Alokwambia kuwa mabaya ya mwanaume yanaishia chumbani ni Nan? Unaposema huyo mwanamke aondoke na asimsamehe mwanaume kwani hapo Nan kakosea mwenzako? And by the way,huwezi ku balance gender,hata uende mbinguni Never! Nilichogundua kwako ni kwamba,ww inaonekana umeishatendwa sana,au huna mwenza na hata kama utampta utaishia kuwa single mama aka Cha wote!
Kwa taarifa yako mi ni men
 
Alokwambia kuwa mabaya ya mwanaume yanaishia chumbani ni Nan? Unaposema huyo mwanamke aondoke na asimsamehe mwanaume kwani hapo Nan kakosea mwenzako? And by the way,huwezi ku balance gender,hata uende mbinguni Never! Nilichogundua kwako ni kwamba,ww inaonekana umeishatendwa sana,au huna mwenza na hata kama utampta utaishia kuwa single mama aka Cha wote!
Yaani anatoa ushauri wa kimalaya!
 
Ah huyo lazima ajinuonge kama sio kua mke.
Thats why always always have a side chick...having a wife alone with no mchepuko is a recipe for disaster i tell u
Regardless; bado ukichapiwa lazima uumie. 🤣
 
Alitegewa kitu nyumbani kwa jamaa maelezo yake hayajajitosheleza aeleze vizuri alikuta Nini nyumbani kwa jamaa au jamaa alikua anatembea uchi huku dushe limetuna na ukizingatia yeye ana upwiru wa kifurushi Cha wiki
Alijipeleka kuliwa.
 
Sisi wanaume tukishajua mwanamke umecheat na moyo nao unavunjika vipande vipande.

Mwanaume wako hapo kila akitaka kufanya tendo na wewe anafikiria," Hivi yule mbwa nae alipewa utamu kama hivi? Yaani kuna kipindi ilichomoka na mke wangu akaiwahi na kuiingiza tena mtanange uendelee huku akiililia?"

Daa.. kiufupi inakuwa ngumu kurudi vile mwanzo iwe na ndio maana tukijua na kupata ushahidi usiotia shaka huwa hatusamehi.

Kiufupi inatuharibu saikolojia yetu na tunakuhesabu sio trustworthy patner anymore zaidi ya kuwa msaliti tu. KUJERUHIWA MOYO KUNAUMA SANA

Ft1ItskXoAAJA2K.jpeg

 
😆😆kuoa muhimu masela.. Matukio kama Haya yapo tu na hayajaanza leo, tutengeneze familia zetu bila kujali yaliyowahi kutokea, yanayotokea na yatakayotokea...
Sijaoa Ila kutombewa kunauma japo sjawai kufanyiwa hivyo.
Kuna manzi angu aliliwa na msela wangu baada ya kwenda advance nliporudi nikapata habari kilichofata😂😂japo Huyo demu nlikua Sina ata mpango nae ila nlivyoskia kamla nlimind knoma... Maamuzi yangu waga ni mawili tu kuachana na msaliti na kulipiza kisasi kwa alienifanyia roho ndo itatulia
#Kuoa tusiache#
 
Afu kwa sheria za kibongo talaka inamuumiza sana mwanaume.

Unaweza kukuta nyumba uliojenga inabaki kwa watoto na mama yao na mama yao anamleta jamaa anakuja kumgonosha tena kwenye nyumba yako.

Child support unaendelea kutoa jamaa anaitafuna kama keki.

Wanaume tumeumbwa matesoooooooooooooooo
Ukiwa lofa ndiyo yatakukuta hayo. Inategemea na umri wa watoto
 
Kweli shughuli ilikuwa kubwa tena kubwa haswa! Kuanzia saa 10 kasorobo jioni mpaka saa mbili kasorobo za usiku. Kwa hiyo ulipigwa nao kwa masaa manne non stop [emoji15][emoji15][emoji15]. Huyo baharia kweli alikuwa amekupania...na wewe ulikuwa na genye za kufa mtu na baharia ulikuwa unam-feel ndo maana ukalowanisha si chupi tu bali mpaka sketi kabisa!

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mimi naamini kwa moyo wote kabisa kabisa kwamba hapa duniani hakuna mwanamke wa peke yako na mwanaume hata ufanyeje kuchapiwa kuko pale pale tu. Na siku nikigundua mke wangu kachapwa nje wala sitashangaa wala kuumiza kichwa japo mapenzi yetu yatakufa siku ile ile na kamwe sitamgusa tena!

Huyo mumeo yupo katika maumivu bado na uko so naive kudhani kuwa atakuwa sawa; na mambo yarudi kama yalivyokuwa zamani. Kuchapiwa kunauma mno na si ajabu taswira ya mbususu yako aliyoiona siku ile alipokulazimisha kukuchunguza kwa nguvu bado anayo kichwani mwake - nyekunduuu imeumuka huku ikiwa wazi inavuja vuja bado ikiwa imechakazwa sawa sawa na yule baharia wako boya kwa masaa manne mfululizo. Hatakaa akae sawa huyo sana sana tu atakuja kupata stroke kutokana na msongo wa mawazo basi.

Jaribuni couple therapy kwa akina Dr. Mauki na akina Nannauka huko japo ngoma ni nzito. Utamuua huyo baba na ingekuwa afadhali kwake kama angekutimua mazima akaanza upya!

View attachment 2637243

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
#UkichapiwaKausha
Mzee unafikiri mtu anakufa kufa tu hovyo hovyo eeh?
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.

Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.

Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.

Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.

Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.

Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.

Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.

Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.

Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.

Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.

Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.

Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.

Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.

Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.

Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.

Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.

Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.

Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.

Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.

Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.

Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.

Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.

Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.

Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.

Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.

Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.

Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.

Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.

Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.

Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.

Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.

NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Huo bdiyo uchafu wa uzinzi.

Umelikoroga sasa ulinywe. Mtaishi na hilo donda mpaka kufa.

Salama na kuponesha hayo majeraha yenu ya uzinzi ni kuachana tu, kila mtu atazame maisha yake, libaki kovu tu.
 
MAOFISINI KUTIA NA KUTIWA NI KAWAIDA SANA. HAKUNA MKE WANTU WALA MUME WA MTU.

NDOA ZA SASA NI ZA MISHIKAKI

VIJANA ENDELEENI KUOA
 
Ukiaminiwa,ukadharahu,gharama ya kurejesha kuaminiwa ni kubwa sana na hata huweza kuchukua uhai wa mtu. Lipia tu gharama za udadisi wako.

Kikawaida haiezakani kurejesha dhamana na thamani uliyokuwa ukipewa na mmeo ikiwa uliyaandika ni ya kweli.
Samahani,mimi siyo mwanamke ila nimeguswa tu na kuhisi maumivu aliyopitia huyo mwanaume mwenzangu.
It takes ten years kurejesha uaminifu.
Sarah mzuri vumilia hiyo miaka na jitahidi u develop tabia mpya na njema kwa mmeo
 
Back
Top Bottom