Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kwamba aulize "Nipe staili mpya uliyotoa/uliyofundishwa huko?"

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimependa hizo ratiba za asubuhi na mchana zimekaa poa sana
 
Dah inaumiza sana kama ni mume alafu ulimuamini sana mkeo na kumheshimu na kumthamini kufanya kitendo cha kucheat... dah
 
Wewe ndio umemaliza kila kitu . Mungu akubariki sana
 
Km hamjui kuchepuka msichepuke mtakatwa shingo! Labda umpate mume bwege km countrywide yeye hadi mimba kwake sawa, sababu ana kibamia kimelegea hana jeuri ya kukufukuza
 
Natetea gender KE kwani shingapi arifu yaani leo nina mtoto wa kike nikubali aonewe hivi kisa mi ni mwanaume.
Haki iwe sawa kwa wote.
Unafikiri Nan Hana watto wa kike? Hata mm ninao wawili,ila ujinga hapana
 
Wanalika sana.maofisini. Kuna rafiki yangu anakula mke wa mtu, anafanya nae kazi. Tena mume wake akisafiri huwa anenda kulala nae kabisa mpaka morning

Sema ni mkeo ndio mwenye tabia hizo usizunguke mbuyu
 
Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Mathayo 5:13

Amen [emoji120] Baba mtu mtumishi

Mshauri na countrywide ajitahidi kulizisha wapenzi wake kwa bed ili wasitoke nje akaanza kujiliza hovyo
 
Asante
 
Kama huyu mwenye Uzi ni Mpuuzi mmoja....Yaani Hana hata haruma kalowalowa tu kizembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mgeni wa kuchepuka na kakutana na dawa ya madoa sugu [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…