Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Am so sorry hapa sitaki nikulauma saana ila kuna wanaume ni wangese saana yaani unamshawishi mke wa mtu kiasi hiki na ni mwanamke mwenye watoto aiseeh hii LAANA yake tunaichukulia very simple lakini matokeo yake haayatokua madogo.

Ushauri kwa wanawake ukiwa umeolewa mkimbie kama ukoma mwanaume yeyeto nje anayekutongoza akijua umeolewa hata akikuambia anakaribia mauti na wewe ndo wakumuokoa mwache afe kubabake zake
 
Kama Kuna kitu unafikilia kufanya au unafanya( Cha ziada) wakati wa tendo ili kumkoleza zaidi acha! Kuwa normal kama ilivyokua mwanzo. Kuzidisha ufundi kutamfanya jamaa afikilie kumbe na mchepuko wako ulikua ukimfanyia hivyo hivyo.
Baadhi ya watu wananiambia hivyo.
 
Once someone cheats in relationship,there's no reason to stay,if they loved you,they would've cheated,
if u love someone you don't cheat,if you cheat,set them free,

How can u trust a cheater? it's difficult to try to trust the person who's supposed to stay committed to you,

Ur husband trusted u much more tha u deserve,once a cheater.always a cheater,they can never trusted again.
 
Pole ila Jambo la kwanza kubali hakuna Siku mambo yatakuwaa Normal na ushukuru mumeo hakuoneshi tabia za kishenzi bado maana Kazingua kukusameheee watoto wangelelewa hata na mwanamke mwinginee... Ila inabdi akuchape matukiooo ya maana...!! Usipoondoka akufukuzeeeee kama mbwaaa...
 
Ok
 
Ushauri wangu japo utauona wa kijinga ni huu.

Tafuta mwanamke mwingine unae ona mzuri kwa mmeo fanya ufanyavyo waingie kwenye mahusisno wanyanduane kama mara tatu nne hivi mmeo anogewe nae alafu siku andaa tukio ufumanie alafu huyo mwanamke amuache mmeo kikatili.

Atarudi nyuma na usiongee chochote wala kumlaumu wewe uwe mtu wa kukaa na kujilizaliza hata wiki nzima.

Niamini atajiona mjinga na kurudi kwako na kuona huko nje anapoteza muda tu na roho yake itakua nyeupe itasuuzika kuona nae amechit.


Dada matatizo magumu yanahitaji njia ngumu kuyatatua sio rahisi kama wengi wanavyo kushauri. Ila hakikisha huyo dada unaingia nae mkataba kuwa ni dili mnacheza.
 
Ushauri wa watu wenye fikra fupi. Yaani wao kila kitu ni kukimbia tu [emoji16][emoji16]
 
hii stori ina udanganyifu mwingi sana, na mtoa mada alivyo hana akili anaomba ushauri wanawake wenzie ila mijitu ina jinsia ya kiume ndio inatoa ushauri na kumkashifu mwanaume mwenzao wakidhani jinsia yake ni ya kike, wengine washaenda pm kuomba appointments ya kusuuza rungu zao wakishapigwa watarudi kutukana.
 

Na wakinogewa wakiendelea [emoji1787][emoji1787]
 
Love and cheating ni vitu viwili ambavyo kila kimoja kinajitegemea acheni kuambatanisha
 
Ushauri wa watu wenye fikra fupi. Yaani wao kila kitu ni kukimbia tu [emoji16][emoji16]
Sawa kwa huo ushauri wako hapo juu umeona ni wa maana kumbe hakuna kitu, mtu anaweza cheat ukamdaka na akakukana na kusababisha mazito juu yako.
 
Aisee imembidi upige english kwa msisitizo🤣🤣🤣🤣
Ila kwa kweli tusidanganyane ulimwengu wa sasa kuwa na mke au mume asie cheat ni ngumu kumpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…