Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Mapenzi ni karata mkuu the way unavyo kuwa mzembe kwenye kuchanga zako ndivyo njia za kufungwa huwa nyingi.Huu ushauri inategemea na aina ya mwanaume na aina pia ya mwanamke.....yeye kacheat afu kalowa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na yanahitaji akili nyingi ili uweze kuyacheza na akili tumetofautiana.
Ndio maana kunajamaa wanauwezo wa kutongoza wanawake watatu akawala wote kwa wakati mmoja kitanda kimoja na kuna nyie hapo kula demu mmoja tu kivumbi na jasho