Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ukitaka kuua ndoa au mahusiano yako fanya huo upumbavu..

Fumanizi lako ni pale utakopojua uliyempa kazi amebeba mimba.
Ukiambiwa love is a game unaelewa nini....? Sio kila mwanamke utampata kwa kumuambia nakupenda sijui ww mzuri nk

Kuna wengine ili uwale mbususu zao inatakiwa uwaambie ni wabaya na hujui hata kama wanautamu hivyo tu.

Wao watafanya juu chini ili wakupe utamu waku prove wrong.

We bado mdogo kwenye hizi mambo
 
Sasa hapo mbinu yake itakuwa haijafanikiwa kaongeza tatizo lingine
Atafute danga professional ambalo halitaki mambo ya mimba na mahusiano

Atafute yale madanga ya no strings attached.

Since wewe ni cute wife huwezi elewa hujapitia huku nje sana
 
Yani kama ni mimi hiyo nyumba ningegeuza danguro. Yeye angekuwa anafanya kazi ya kuhesabu tu nani kaingia nani katoka
Na hao watoto wako utakua umewafundisha nn
 
Una bahati uyo mumeo kakuruhusu hata kuishi hapo yaani kama ningekuwa mimi usingegusa nyumbani kwangu lasivyo uso wako ungevimba

Uvune ulichopanda
 
Ila tukubali tu jamaa sasa hivi hampendi na akiamua kumletea demu mwingine akamtafuna mbele yake anaweza.

Ujue huyu dada alishindwa kujua haki yake kwani nini aache kazi na kazi ni kipimo cha maisha.
Hapo Ndo alibugi kuacha KAZI angekomaa tu ujue bwana mapenzi km hayapo hakuna Ndoa!!!kufosi kisa watoto Ndo tunafeli wanandoa wengi
Huyu dada alidhamiria usaliti nasemaga hakuna kuliwa Kwa Bahati mbaya bwana,alitaka so angekomaa tu km kuachana poa tu..
 
Zinaa haijawahi kumuacha mtu salama,pole hapo unavuna ulichopanda.Neno la Mungu linasema "Msijidanganye,Mungu hadhihakiwi kwani chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna"....
 
Unajitambua kweli au unadhani kila mtu anawaza kama unavyotaka wewe.?

Yaani mke wako akikufuma unaenda tafuta wanaume ili wamlale na ukifumania una amini ndoa yako itakuwa salama..

Hujawaza kuwa kuna magonjwa au utakuwa umemshika mguu na kumlazimisha huyo jamaa atumie kinga?

Akili za kiduanzi.
 
MUANDIKO WA KIUME KABISA HUU
 
Nashangaa kwa nini hakustuka kwa hilo.
Alijawa na hisia kuliko ufahamu yaani huyu alijiandaa kuliwa asilimua zote, mwanaumee ana kondomu kabisa ndani wee!huyo ni chapa ilale...
chakuchosha Zaidi Mpk mbili usiku Bado mpo tu kaahh
Ingekua bahati mbaya km anavodai Kum na mbili angekua nyumbani ila alinogewa na shoo na wahuni wanavojua kukamia shoo[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mwamba kama asingefumaniwa angejilia sana hii kipochi manyoya
 
Atafute danga professional ambalo halitaki mambo ya mimba na mahusiano

Atafute yale madanga ya no strings attached.

Since wewe ni cute wife huwezi elewa hujapitia huku nje sana

Tatizo mioyo inabadilika unaweza kuwa daraja la kuwakutanisha waliopangwa na Mungu kuwa pamoja, hao professional danga’s nao wana watu wakikutana nao hawachomoki
 
Huyo kataka kufanya hivyo bwana....angekuwa bahati mbaya angejisikia guilty Sana angeondoka soon baada ya tukio,yeye kaendelea kukaa mpaka saa mbili usiku,,,kapigwa 3
Ina maana kuna mda hadi aliinyonya isimame aendelee kuchapwa nao... pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…