Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Kumbe mnapigaga pasi skirt🤣🤣🤣🤣 aisee mmenifungua macho
Kama unataka kuwa Malaya weka nguo kwenye pochi halafu uende huko Kwa Malaya wako unavua nguo zako unaweka pembeni unavaa hizo simple dira na bikini ukimaliza kazi zenu una enda kuoga halafu unava nguo za ofisini zile nyingine unapeleka dry cleaner ila mie utovu wa nidhamu kama huo nikipindi sikuwa na mahusiano ya mtu mmoja.
 
Ok Asante nitajitahidi.
Japo nashinda sana home.
Umeukubali ushauri sa kipuuzi huo bibie, mume anajli sana huyo akimpenda mtu, huyo manzi utakaemtafutia akimpenda kweli na wakapendana wewe ndo utaondoka mazima.

Nyie si ndo mnasemaga mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
 
Endelea kuleta solution za kitoto kwenye matatizo yanayo hitaji maamuzi magumu...ndio maana vindoa vyevu vimewashika na kuwabana kama pumu.

Mambo magumu kama hayo ya uchepukaji yanahitaji njia ngumu kuyatatua
 
Tunakuwa busy kusaka hizo ndalama ili mupate mahitaji muhimu na watoto wapate kuishi kwa raha. Sasa tukikaa tunatumbuliana macho unadhani hudumu nzuri utazipata?
Hiyo sawa, walau muda wakuwa naye uwepo upweke mbaya sana
 
Pole sana mmama. Ujinga wa sisi binadamu huwa tunapenda kujaribu jaribu vitu. Sina ushauri wowote

Kutoka kwa me
 
Tatizo mioyo inabadilika unaweza kuwa daraja la kuwakutanisha waliopangwa na Mungu kuwa pamoja, hao professional danga’s nao wana watu wakikutana nao hawachomoki
Ukiona hadi hapo umefika basi ndoa yako ilikua sikio la kufa tu
 
Hiyo sawa, walau muda wakuwa naye uwepo upweke mbaya sana
Mda tunajaribu kubalance mbona huyo alikuwa anagegedwa mpaka mume anatoa chozi la utamu. Anaenda nae out kama familia.
Sasa sometimes na wewe kama mke jiongeze unamwambia mume leo nataka nikutoe out na watoto unamkabidhi hubby laki mbili alafu unamwambia tukirudi i have a suprise for u. Uone kama jamaa hatatenga muda for u
 
Kuna vitu iwili wanawake hawavijui kutuhusu.

1. Unajua mwanamke huwa anafanywa, anakamiwa, analiwa mbususu nk. Sasa akichepuka sisi wanaume huwa tunawaza hayo, yaani kafanywa, kaliwa, kachakatwa nk, inakata iyo

2. Ile mahari tunayoilipa huwa inuma mazee, halafu mtu aje akulie mzigo wako, alooo
 
Kwani kutoa machozi ndiyo kumridhisha , labda machozi yalikuwa yanamridhisha mwenyewe mtoa machozi.
 
Kwani kutoa machozi ndiyo kumridhisha , labda machozi yalikuwa yanamridhisha mwenyewe mtoa machozi.
Ndio kasharidhika sasa. Wewe kama mke uridhiki basi sawa katombwe huko nje ila ndio kama hivyo ukikamatwa usianze tena kutaka mume akuchukulie kama awali. Au kama vipi sii unamchana tuu mume aisee nimevumilia ila naona huwezi nitomber vizuri wacha mie niondoke zangu.
 
Hii ndio point. Haya mambo yakusema eti kaeni mlee watoto ni ujinga mtupu
Jamaa hampendi mwanamke, mwanamke atalazimisha sana ila ndo ivo jamaa upendo ushajifia.

Mbaya zaidi hamuamini kabisa, anaishi nae kwasababu ya ndgu tu ila sio upendo wa dhati kama mwanzo.

Aachane nae tu kila mtu awe na furaha, mimi ningekua jamaa nisingesikiliza la mtu kabisa.
 
Sio rahisi kumwambia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…