Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kikubwa hapo akubali tu waachane, jamaa hawezi kumsamehe mpaka hapo.Atamuua kweli.
Na lijamaa lililomzagamua wala halijari tayari lishapata chake kateleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa hapo akubali tu waachane, jamaa hawezi kumsamehe mpaka hapo.Atamuua kweli.
Kama unataka kuwa Malaya weka nguo kwenye pochi halafu uende huko Kwa Malaya wako unavua nguo zako unaweka pembeni unavaa hizo simple dira na bikini ukimaliza kazi zenu una enda kuoga halafu unava nguo za ofisini zile nyingine unapeleka dry cleaner ila mie utovu wa nidhamu kama huo nikipindi sikuwa na mahusiano ya mtu mmoja.Kumbe mnapigaga pasi skirt🤣🤣🤣🤣 aisee mmenifungua macho
Umeukubali ushauri sa kipuuzi huo bibie, mume anajli sana huyo akimpenda mtu, huyo manzi utakaemtafutia akimpenda kweli na wakapendana wewe ndo utaondoka mazima.Ok Asante nitajitahidi.
Japo nashinda sana home.
Endelea kuleta solution za kitoto kwenye matatizo yanayo hitaji maamuzi magumu...ndio maana vindoa vyevu vimewashika na kuwabana kama pumu.Unajitambua kweli au unadhani kila mtu anawaza kama unavyotaka wewe.?
Yaani mke wako akikufuma unaenda tafuta wanaume ili wamlale na ukifumania una amini ndoa yako itakuwa salama..
Hujawaza kuwa kuna magonjwa au utakuwa umemshika mguu na kumlazimisha huyo jamaa atumie kinga?
Akili za kiduanzi.
Hiyo sawa, walau muda wakuwa naye uwepo upweke mbaya sanaTunakuwa busy kusaka hizo ndalama ili mupate mahitaji muhimu na watoto wapate kuishi kwa raha. Sasa tukikaa tunatumbuliana macho unadhani hudumu nzuri utazipata?
Nikubwa mie sijaolewa ila naheshimu mahusiano yanguHuzuni ni kubwa mno
Pole sana mmama. Ujinga wa sisi binadamu huwa tunapenda kujaribu jaribu vitu. Sina ushauri wowoteHabari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa furaha na visuprise kibao, na zawaidi sana tuu.
Nakili kwa kusema mume wangu alinipenda sana, kuna kipindi alininunulia gari la Toyota vixz ni kadogo hivi.
Na alikuwa ananijazia mafuta full mimi ni kujimwaga na watoto wangu mpaka basi. Alikuwa ni mtu wa kunifanyia surprise mpaka basi, na nakili katika siku zote hizo mume wangu sijawahi hisi anafanya lolote lile baya kwangu. Alikuwa ni mume mzuri na baba mzuri tuu.
Sasa shida ilianza sehemu niliokuwa nafanya kazi kulikuwa na mkaka mmoja nilizoeana nae kama mfanya kazi mwezangu tuu, lakini akaanza kunitongoza ,mimi nikamwambia kuwa ni mke wa mtu nina ndoa yangu ila yeye hakujali, na wakati wote huwo sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja.
Alinishawishi sana mpaka nikawa naona kelo, nikawa simjibu lolote alinisumbua kama 4 months hivi. Sasa siku moja aliniazima laptop yangu achukue movie, mimi napenda sana movie so nadownload kwenye pc yangu. Lkn alienda nayo nyumbani kwake.
Nikamwambia mbona umeondoka nayo akasema njoo uje kuchukua home coz mimi mwenyewe pc yangu niliiacha home.
Mimi si nakaenda bhana , baada ya kufika kwake akanikalibisha home kwake ni sehemu mzuri tuu. Lkn akaanza kama anataka sexy na yalikuwa majira ya 10 kasolo jioni maana ndo mda natoka ofisini.
Sasa kwa mda hule nilikuwa sijakutana na my hubby kama 1 week coz alikuwa anaumwa. Alivyonishawishi nilipatawa na hisia nikajikuja tunafanya ngono japo nashukuru alitumia condom maana alikuwa nazo home kwake.
Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni. Nikiaangalia simu yangu nakuta nakuta missed call kama 8 za mume wangu na na sms 6, akiwa ananiuliza upo wapi mbona upokei simu , sms ya mwisho aliniambia tu ushaanza uhongo.
Nilishituka nikaamua kumwambia mume wangu ananitafuta si unaona akajibu ka mwambie tuu ulikuwa kwenye kikao.
Akaniambia oga kwanza ndo uwende home mimi nikaamua kuoga pale nimemaliza kuoga na chukua nguo kuvaa nakuta sketi na chup* yangu imeloa nikaja kujua kuwa ni uteute wa uk* maana alinishika shika na sehemu za nje ya uk* wangu na kuniingiza vidogo.
So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.
Nilijuta sana usiku ule na mda ulikuwa ni kama saa 3 kasoro hivi ndo natoka pale nikamtumia sms nakuja mume wangu akanijibu sawa.
Nafika home nikakuta geti limefugwa nikashuka kwenye gari najaribu kufungua limefugwa nampigia njoo ufungue geti haongei na anakata simu, kwenye gari nilikuwa na kanga so nikachukua kanga nikajifunika ili my hubby asione sketi iliyolowa kwa nyuma.
Siku ile nilikaa nje mpaka saa 6 ndo akaja kunifungulia geti, akaniambia alikuwa anasubiri watoto walale kwanza.
Sasa kwa mshituko nilibaki natetemeka sana naingia ndani sina ujasili kabisa akaniuliza ulikuwa wapi , mimi nikamjibu tulikuwa kwenye kikao ila sorry kipenzi sikukuambia , akaniuliza tena ulikuwa wapi na kikao kilifanyika wapi mimi si nikamwambia ofisini.
Kumbe yeye alikuja ofisi saa 12 jioni. Akakuta ofisi imefungwa, mume wangu ajawahi kunizaba kibao alinipiga kibao kimoja kikali sana.
Nilipiga kelele Sasa ile nainuka kanga si ikanivuka, mume wangu akaniona nyuma nimelowa.
Alinishika na mimi nilikuwa sitaki anikague ila kwa vile yeye ni mwanaume alinishida nguvu, na kufanikiwa kuniangali na akajua kuwa nimemcheat.
Akaniacha mimi kwenda chumbani nimerudi sebuleni nimechukua simu yangu sms imeingia ya jamaa yule ananiuliz mume wako kakuzingua na samahani sana kwa haliyotokea.
Ile sijamaliza naendela kuperuzi akanipokonya simu na kosoma sms nyingi , kisha akasibitisha kuwa nimemcheat.
Alinifukuza nje na siku ile nilikaa nje ya nyumba mpaka asubui.
Nilijitahidi kumwamba msamaha ilishindikana nikaenda kwa rafiki mmoja ni mama mtu mzima nikamueleza basi akaamua kwenda kwa mume wangu kuongea nae ila ilishindikana. Nakumbuka ofisini sikwenda kama 2 weeks hivi.
Mume wangu si akafikisha mpaka kanisani kuwa anataka kuvunja ndoa niliitwa na watumishi na na kujaribu kuweka sawa ila aliendeleza na nia ya kuniacha na yeye alidai kapata maumivu makali kwa sababu hajawahi kunicheat.
Ugomvi ulifika mpaka kwa wazazi wetu wote wawili, ofisini kwa kipindi kile nikawa naenda siku moja moja huku nalia kila siku, yule mwanaume aliniuliza nikamwambia ndoa yangu imeingia Dosali aliniomba msahama tuu.
Ugomvi uliendela kama miezi 8 hivi, yeye aliendeleza msimamo wake hule hule.
Nilimuomba msahama sana na nikamuahidi sitarudia tena. Na nilijuta sana.
Ila mwishowe alikubali kupokea ushauri wa wazazi wake kuwa tuishi tuu ili kulinda maslai wa watoto.
Na yeye akasema kuwa kazini ndo kulimpelekea yote hayo. Mwishowe tulikubaliana mimi niache kazi na kuwa mama wa nyumbani. Nilikubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani kazi ya 550,000 kwa mwezi niliiacha.
Baada ya hio kesi mume wangu alibadilika sana home , alinichukua gari, kutola out kuliisha , surprise na vizawadi vingi vilipotea , na hakuwa mtu wa furaha tena tangu siku ile.
Mpaka leo ni kitu najuitia sana kwa kile kulitokea na hata yule jamaa nilimwambia naacha kazi kwa sababu ya ndoa yangu kwa tukio lile. Aliniomba tuu msamaha.
Nilijaribu kumshawishi mume wangu ili arudi kwa aliyake ya kawaida ila nilishidwa , niliamua kuwa mke bora kwake , kuangaika kumfurahisha ila ilishindika. Hata Sasa kwenye yendo simuoni kama anaenjoy kama hapo mwanzo maana tukiwa kwenye tendo mume wangu alikuwa ni mtu wa kunifurahia sana mpaka kuna kipindi machozi yanamtoka kwa furaha ya tendo. Ila kwa sasa hakuna kabisa.
Sasa wanawake wenzangu ni ishu imetokea 3.5 years ago na imeniathili sana tena sana.
NAOMBENI USHAURI JAMANI NIMRUDISHE MUME WANGU HUYU.
NIMEJUTA SANA KWA LILE. USHAURI TAFADHARI.
Ukiona hadi hapo umefika basi ndoa yako ilikua sikio la kufa tuTatizo mioyo inabadilika unaweza kuwa daraja la kuwakutanisha waliopangwa na Mungu kuwa pamoja, hao professional danga’s nao wana watu wakikutana nao hawachomoki
Mda tunajaribu kubalance mbona huyo alikuwa anagegedwa mpaka mume anatoa chozi la utamu. Anaenda nae out kama familia.Hiyo sawa, walau muda wakuwa naye uwepo upweke mbaya sana
Sio mzoefu wa kuchepukaMie alichonishangaza kama sio madharau eti kalowa mashahawa ya mwanaume mwingine ajafua hata apasi aondoke akaenda Moja Kwa Moja eti Kwa mume wake bila ya aibu
Kuna vitu iwili wanawake hawavijui kutuhusu.Dada pole kwa yaliokukuta,
Kwa kawaida sisi wanaume tuna wivu sana kwa wake zetu.
Yani mume akijua mkewe analiwa na mtu mwingine daa tunapata maumivu makubwa sana.
Tena tunaweza tusisahau maishayetu yote.
" ni bola kuwa mchafu hata pia kuwa hujui kupika lakini si kwenda kutoa utamu kwa kidume kingine".
Kusahau ni MUNGU mwenyewe tuu ndo anaweza kutusaulisha.
Basi kama ndo hivyo basi mume mwenyewe awe mzizi sana ndo atachukulia kawaida.
Ndo maana wanawake wanaotuelewa sisi wanaume kuwa tunawivu sana akitaka kucheat.
Anakuwa makini sana, wengi wanategea mume labda awe amesafiri kikazi ndo anacheat.
Au wengi wanacheat Asubui au mchana.
Wanawake wanaocheat jioni na night ni wachache sana kwani mume wake ni rahisi kumsitukizia.
Pole dada, vumilia tuu.
" Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenywe"
Kwani kutoa machozi ndiyo kumridhisha , labda machozi yalikuwa yanamridhisha mwenyewe mtoa machozi.Mda tunajaribu kubalance mbona huyo alikuwa anagegedwa mpaka mume anatoa chozi la utamu. Anaenda nae out kama familia.
Sasa sometimes na wewe kama mke jiongeze unamwambia mume leo nataka nikutoe out na watoto unamkabidhi hubby laki mbili alafu unamwambia tukirudi i have a suprise for u. Uone kama jamaa hatatenga muda for u
Niloweshe halafu nije humu kuwaambia kuwadolishia au kufanya nini we nae mjinga tu huna unalojuaKwani wee hujawai lowesha kyupi na skirt kwa mpigo?
Kama bado basi hujawahi kumpenda mwanaume
Ndio kasharidhika sasa. Wewe kama mke uridhiki basi sawa katombwe huko nje ila ndio kama hivyo ukikamatwa usianze tena kutaka mume akuchukulie kama awali. Au kama vipi sii unamchana tuu mume aisee nimevumilia ila naona huwezi nitomber vizuri wacha mie niondoke zangu.Kwani kutoa machozi ndiyo kumridhisha , labda machozi yalikuwa yanamridhisha mwenyewe mtoa machozi.
Jamaa hampendi mwanamke, mwanamke atalazimisha sana ila ndo ivo jamaa upendo ushajifia.Hii ndio point. Haya mambo yakusema eti kaeni mlee watoto ni ujinga mtupu
Eti eeeh sawa mteja nenda na wewe umloweshe aje atusimulie piaInaweza kuwa kweli...wanawake mnatofautiana maumbile.. kuna wale ambao ukiwachezea wanachuruzisha maji.. so lazima ulowane
FalaKwani mie nimekataa. Mie mjing kweli sina lolote nalojua ukiondoa mbususu na deliboloz.🤣🤣🤣🤣
Sio rahisi kumwambia hivyoNdio kasharidhika sasa. Wewe kama mke uridhiki basi sawa katombwe huko nje ila ndio kama hivyo ukikamatwa usianze tena kutaka mume akuchukulie kama awali. Au kama vipi sii unamchana tuu mume aisee nimevumilia ila naona huwezi nitomber vizuri wacha mie niondoke zangu.
Ah sawa tuu ata wewe unaweza kuwa dume maana hapa ni sehemu ya kutoa stress za maisha wacha tuchape marimba ya mzungu tuburidike huku tukisubiri mantanange wa yanga dhidi ya waarabuToa stDume lenzenu hilo