Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Nani aliyempeleka mwenzie kwa ndugu: mwanaume ama mwanamke?

Halafu mkuu, upo ama ulishawahi kuingia kwenye ndoa?
 
Nakupa ushauri wa kiume:-
  • Uliyechepuka naye hakupendi, bali alikuwa anakutamani ndio maana hakuangalia usalama wako, inawezekana manii zake alikumwagia kwenye hizo nguo zako ili akukomoe (akuchafue); angekuwa anakupenda angejitahidi chup.i na nguo uliyovaa isipate kasoro; zaidi tu ya ku...m.a kushibishwa kwa uji mzito.​
  • Kumrudisha mmeo kwenye mstari, inawezekana lakini mpaka mtakapomfanyia umafia huyo aliyeharibu ndoa yako. Na hii mshirikishe mumeo, namna huyo jamaa alivyokurubuni mpaka akakuvua chup. Baada ya hapo andaeni kikosi kazi, jamaa aingie kwenye 18, apigwe nyuma kama fundisho; hapo mapenzi yenu yatarudi kama awali.​
 
Yote haya hayana maana kama mwenzake hayupo tayari. It takes two to tango.
 
Mwanamke mwenzeni anaomba msaada wa mawazo mliotumia ktk kurudisha amani ktk ndoa yenu, baada ya kumsaliti.
 
Na hajajutia mpaka alipokamatwa!
 
Nyie ndo wale mnaong'olewa meno na kutobolewa macho kwa upumbavu wenu kama huo.

Nashauri huyo mumeo akupe talaka tu ukadange vizuri huko mitaani. Hufai kuwa mke wake tena!!!!!!!
 
Aisee umempa mhuni utamu wa wiki nzima, akiba ya mumeo. Hadi chupi ililowa! Duh! Huyo jamaa hawezi kupona. Huo utamu ni mkubwaa. Akikumbuka tu ulivyolowa sana kwa ajili ya mhuni, mshale unachoma moyoni.
 
Unataka akusamehe ili muwe na amani Kama mwanzo yani akupende vile vile....

Baaday amani ikija mkarudiane na workmate wako...

Kiufupi wanawake huwa hamtaki amani acha jamaa akae hvyo hvyo maana akirudi Kama mwanzo utampiga Tena matukio
 
The only thing kumpa jamaa amani ni ww kuomba talaka kwa sharti la kumuachia mali yote au uchukue ulichochuma na sio kugawana nae mali. Muache mkaka wa watu na mali yake. Ww nenda kwa uliyeanzisha nae mahusiano.
Very nice advice!!!
 

Kwa hiyo brother hujawahi kucheat ???..

Kama wewe umeshawahi kucheat, ni ni kinakufanya uamini kuwa mtu mwingine anastahili kuishi maisha mabaya kwa kufanya dhambi unayoifanya tena proudly

Hii sio issue ya uanaume na uanamke, ni issue ya mtu ambaye alitenda kosa na kwa bahati mbaya kwa kuwa sio michezo yake ndio maana alikamatwa kirahisi

Ni roho ya mtu ambayo imekaa miaka ikiomba msamaha hadi ku acha kazi ili aijenge nyumba yake.. Wewe ushawahi kulipia gharama ya dhambi zako??..

Hakuna anaepinga kuwa alifanya makosa makubwa na hakuna anaeweza kuondosha makovu aliyoyasababisha but at least kaamua kukiri, kukubali na kulipia gharama ya dhambi zake..

Vipi kuhusu wewe mkuu, tukigeuza meza na kuangalia dhambi zako tena zenye nature hiyo hiyo.. Utaweza kujilaani na kuona mateso kwa life lako lote kama stahiki yako??....
 
We jamaa ujawaza mbali. Nimejaribu kuvaa uhusika wa mumewe, naoina nafsi ikiwa nyepesi tena kama hili litafanyika. Hakika linaweza kufaa
 
HUu ni ushauri toka MZINZI mwenye cheti chake mjini😂😂😂😂😂
 
Mwanamke akiazaa Kugongwaa nje ya ndoaa na Ukamsamehee aisee HAACHIII...NARUDIA HAACHI...!! atatafuta namna nzuri ya kufanya huo upuuzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…