Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Ilitokea mara moja dear,
Haya kwanini msiendelee na hutakiiwi Tena nyie mmekuwa wazazi tu wawatoto na nibora iwe hivyoi tu .
Kama mwanamke anayejua ninandoa nanitaenda kuliwa huko unamwambia mumeo chukua hii namba mume wangu nenda Kwa huyu jamaa kanichukulie PC yangu hii Hawa ndio wanawake wanaojitambua . Ukiwa umeolewa hujaambiwa usiwe na mchepuko ila basi mchepuko wenyewe ueleweke sio huyo Mario tu anamapumbu na hana hela hata ya kukununulia nguo ingine amekuacha uende home ukalijue Jiji halafu mumeo asingezira kama nikifaru kakukula Sasa kazira maana nikilaza kakukula aisee
 
Hatari sana. Mimi niliona wife kam wish happy birthday ex wake kwenye Facebook halafu akaweka emoj ya kopa. Jamaa nae nashukuru halafu akamalizia na emoj ya kopa. Tangu siku hiyo sina hamu nae, kama nisingekua nimezaa nae mtoto ningemuacha aendelee na ex wake.
 
Thanks dear.
Naumia sana kwani naamini still ana maumivu sana my hubby.
Naitaji awe mtu wa furaha kama mwanzo please wanawake wenzangu naombeni ushauri.
Hiyo hiyo furaha ataipata kwa mwingine sio wewe,sisi wanaume ndio tumeumbwa hivyo..tena shukuru huyo mimi ningehama nyumba kesho yake na kuanza maisha mengine.
Kwanini nife kwa stroke ya kujitakia,wakt maisha ya duniani ni mafupi ila matamu
 
Halafu mbona siandiki maneno ya hovyo yako? Ukiandika bila kuweka maneno yenye ukakasi huwezi eleweka kwani? Naona unajibu kwa hasira kama mkeo ndiye kachepuka
 
Halafu mbona siandiki maneno ya hovyo yako? Ukiandika bila kuweka maneno yenye ukakasi huwezi eleweka kwani? Naona unajibu kwa hasira kama mkeo ndiye kachepuka
Maneno gani yana ukakasi tena hapo.
Hasira wapi jamani mke wangu akichepuka wala siipati oresha namuuliza tuu style gani mupya umejifunza huko tuijaribu na sie
 
Pole sana
Ila dada wiki tu ndo ucheat Jamani wiki hii siku saba au?
Ongeza upendo Kwa mumeo Ishi ukiamini amekusamehe
Jisamehe toka moyoni omba sana Muombee mumeo pia
Hakunaga msamaha kwenye hilo labda kma huyo mwanaume anaumwa kisukari[emoji16]
 
Umeukubali ushauri sa kipuuzi huo bibie, mume anajli sana huyo akimpenda mtu, huyo manzi utakaemtafutia akimpenda kweli na wakapendana wewe ndo utaondoka mazima.

Nyie si ndo mnasemaga mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
Asa
Ok
 
Usitarajie kuirejesha amani tena ndani mwako, mimi ni mwanaume najua, lazima utazeeka na hilo kovu ktk familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji2] stori inachekesha na kuhuzunisha

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Lightning never strikes the same place twice. Things will never be the same.
 
Imeniuma mno yaani mwenyewe Ni mme wa mtu. Ila mpaka nimeogopa kutongoza mke wa mtu ingawa Nina mchepuko mke wa mtu Ni mwanamke mzuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…