Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

Akati Niko shule miaka hiyo Kuna jamaa alikuwa anaimba music ,ni msanii wa mbele, alikuwa anasema hivi,. ;there is no excuse my friend,for breaking my heart x2,,,,mi nilielewaga hapohapo tuu,

Ila mumeo n ana Tabia zote za kiume, ni asilimia 97 he is the man, hizo tatu ni za kuwasikiliza wazazi,

NB:nyie wanawake epukeni sana kuwasaliti wanaume ambao hamjawai kuwaona na michepuko Wala kushuka sms za mapenzi katika cmu zao,na simu zao Zina Tabia sawa na remoti za tivi sebuleni,Haina pass word na Kila mtu anatumia, Hawa Huwa Wana mambo machache akijua umemwaliti, 1)akuache hata ulie vipi 2)akuue kabisa, 3) ajiue ,,,,,chunguzeni ,,,,,
Huyo mumeo ni kitu Cha hatari mpaka hapo, ukichunguza lazima alikuwa na Tabia hizo, Omba Mungu,

Kumsaidia mruhusu atoke nje, anaweza akarudi au asirudi,mana pia ni wacheshi kwa watu waliowazoea ,ila wapole sana kwa wageni unaweza SEMA Huwa haongei, ni watu wa mood, akitoka anaweza akabalance hisia kwamba kumbe ni kawaida tuu, au akakuona wa ovyo zaidi,

Umeandika nondo tupu!
 
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.

Ukweli kuwa shughuli ilikuwa kubwa maana nilikuja kujishitukia ilikuwa ni saa 2 kasolo jioni.

So uteute ulikuwa mwingi mpaka sketi ya niliyotoka nayo home ilikuwa imelowa kwa nyuma.i.
yaonekana jamaa ulikuwa umemzimia kitambo na siku hiyo ulikwenda rasmi kupiga show.
siku mkikutana na jamaa mtaani akiomba tena game uwezekano wa kumpa ni mkubwa.

hapo hakuna ndoa.
 
Pole sana
Ila dada wiki tu ndo ucheat Jamani wiki hii siku saba au?
Ongeza upendo Kwa mumeo Ishi ukiamini amekusamehe
Jisamehe toka moyoni omba sana Muombee mumeo pia
Hata akae miaka 100 naaongeze upendo mata 1000, mwanaume akisahau na kirudisha mapenzi kama mwanzo, nipo pale.gharama za kutunza na kupenda mke au mtu baki ni ngumu ila ndio uanaume tutafanyaje
 
Mshikaji yeye aliamua kutokumgusa mkewe kabisa baada ya kumfumania huu ni mwaka wa 8 . Anahudumia watoto tu natoka out na watoto anatembea nao popote lakin nyumban mkewe kila mtu chumba chake.
Sasa hapo hamkomoi mkewe... mkewe anafurahi kisiri siri na anakunwa nje na hawara zake, au ukute anawaleta hapo hapo wamkune, mumewe akiwa hayupo. Jamaa anajikomoa mwenyewe. Ni lofa!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ila jamaa inaonekana alikubinua staili zote [emoji23]
Kifupi ni fundiii[emoji12]
Mumeo umemfundisha umalaya hiyo imeisha kukuamini sahau
 
Fanyeni uhuni wote Ila sio kuuza mechi! Hilo kosa huwa halisamehewi. Unakaa na Bomu litakulipukia vunja ndoa kila MTU achukue maisha yake kinyume na hapo tutawasoma kwenye magazeti amekutoa macho!

Narudia tena kutembea na mwanaume mwingine na mwanaume akajua Hilo ni kosa lisilo na msamaha.

Nampongeza mwanaume wako Kwa kuwa mwanaume wakweli. Misimamo ya kiume.

Wanawake wapo wengi pisha hapo achukue nafasi mwingine. Wewe nenda kajaribu nafasi Kwa wanaume wengine.
 
Kiufupi mpenzi, hata wanaume wa humu jf unawaona wanavyokereka.?

Mwanaume ni katili linapokuja swala la kuthibitisha umeshiriki tendo la ndoa yenu na mwaname mwingine.

Mwanaume anahisi umemdharau na hatakusamehe asilani.

Ukweli ni kwamba hutaweza kumrejesha kama zamani. Zaidi na zaidi tulia, mleleee watoto wake kuwa mtumwa wake, labda anaweza kukupa nafasi nyingine lakini sio Ile ya mke wake tena. Anatakutaka akugeuze 0656...usikubali... Chukua maneno yangu ya Bure.

Mzalie watoto kama Bado anapenda, jiongeze zaidi ya ulivyokuwa hapo awali.

Maadam anakula chakula unachopika, anakuingizia dudulenu, anavaa ukimfulia, anawalipia wanao ada, anatoa mahitaji, anaitikia salamu yako.

Mpikie chakula kitamu Sana.
Mvalishe apendeze.
Mfanye sehemu ya watoto wako.
Bajeti vzr uwe muaminifu.
Tena Anza kumuita baba badala ya mume wangu.

Kukusamehe ataamua mwenyewe.
Hats hivyo hapo amekusamehe pakubwa tu shukuru mungu.

Mwanamke mwenzangu nikuambie ukijaribu kufanya tofauti atakuua, ikiwa utashindwa kuwa royal kama livyosema Kim Jong Jr Bora uondoke.

Mimi Nina watoto 3 nimecheat sana lkn Kwa tahadhari kubwa, Hawa wanaume hawana nguvu nyingi kwamba nitatosheka,

Mume wangu ana sukar.
Alinioa mwaka 89, ndoa Ina mida mrefu nilikiwa na Miata 16, akanikubalia nianze form one, nikasoma nikiwa kabinti evening prgrm nikawa attached na shule moja nikamaaliza form four vzr, hapo nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18. Alikuwa analipa tendo miaka yote....

Ktk umri wa miaka 17 nilicheat nikiwa mdgo wkt huo. Wkt huo hata sijui madhara yake, nikaendelea na maisha, tukaendelea kupata watoto, nikaingia form five na six nilipata division nzr TU ONE POINT 14. na A- level One Point 5 NIKAINGIA UDSM.

To paraphrase story.
Kuna jamaa nilimpenda Sana na alinipenda pia. Tukiwa chuo kikuu, mume hakuisha kija chuo. Bahat nzr sikuwa nakaa Santa chuo, weekends narudi Kwa wanangu.

Huyu jamaa anawivu kuliko wanaume wote duniani. Kina kipndi anachumua simu yangu anaenda nayo kazini , namwambia mchepuko kuwa jamaa anamebeba Simu ...

Emergine mmi graduate mume la 7. Lkn amekaba Kona. Sasa yeye katika utu uzima huu yeye ana 60 kasoro Mimi bado ndio nipo 30's ngono kuacha ni ngumu. Mwanangu mmoja mweupe wengine chocolate color. Najua kabisa huyu sio wake. Nikiruka name NAE nje nikaruka Kwa hiyo Kuna mulato aka Africast hapa.

Kwa Sasa dushe imelala Hadi niipige booster.

Wanaume wajue kwenye ndoa Kuna menginyamejificha
 
Sasa hapo hamkomoi mkewe... mkewe anafurahi kisiri siri na anakunwa nje na hawara zake, au ukute anawaleta hapo hapo wamkune, mumewe akiwa hayupo. Jamaa anajikomoa mwenyewe. Ni lofa!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Jamaa yupo sahihi. Ukiwa na commitment ya watoto option ya jamaa ni sahihi. Halafu, kwanini umetumia neno kukomoa? Mke akipachikwa nyama huko nje mshkaji inamuhusu nini?
 
Kiufupi mpenzi, hata wanaume was humu unaona wanavyokereka.

Mwanaume ni katili linapokuja swala la kuthibitisha umeshiriki tendo la ndoa yenu na mwaname mwingine.

Mwanaume anahisi umemdharau na hatakisamehe asilani.

Ukweli ni kwamba hutaweza kumrejesha kama zamani. Zaidi na zaidi tulia, mleleee watoto wake kuwa mtumwa wake, labda anaweza kukupa nafasi ntingine lakini sio Ile ya mke wake tena. Chukua maneno yangu ya Bure.

Mzalie watoto kama Bado anaoenda, jiongeze zaidi ya ulivyokuwa hapo awali.

Maadam anakula chakula unachopika, anakuingizia dudulenu, anavaa ukimfulia, anawalipia wanao ada, anatoa mahitaji, anaitikia salamu yako.

Mpikie chakula kitamu Sana.
Mvalishe apendeze.
Mfanye sehemu ya watoto wako.
Bajeti vzr uwe muaminifu.
Tena Anza kumuita baba badala ya mume wangu.

Kukusamehe ataamua mwenyewe.
Hats hivyo hapo amekusamehe pakubwa tu shukuru mungu.

Mwanamke mwenzangu nikuambie ukijaribu kufanya tofauti atakuua, ikiwa utashindwa kuwa royal kama livyosema Kim Jong Jr Bora uondoke.

Mimi Nina watoto 3 nimecheat sana lkn Kwa tahadhari kubwa, Hawa wanaume hawana nguvu nyingi kwamba nitatosheka,

Mume wangu ana sukar.
Alinioa mwaka 89, ndoa Ina mida mrefu nilikiwa na Miata 16, akanikubalia nianze form one, nikasoma nikiwa kabinti evening prgrm nikawa attached na shule moja nikamaaliza form four vzr, hapo nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18. Alikuwa analipa tendo miaka yote....

Ktk umri wa miaka 17 nilicheat nikiwa mdgo wkt huo. Wkt huo hata sijui madhara yake, nikaendelea na maisha, tukaendelea kupata watoto, nikaingia form five na six nikapqta division nzr TU ONE POINT 14. NIKAINGIA UDSM.

To paraphrase story.
Kuna jamaa nilimpenda Sana na alinipenda pia. Tukiwa chuo kikuu, mume hakuisha kija chuo. Bahat nzr sikuwa nakaa Santa chuo, weekends narudi Kwa wanangu.

Huyu jamaa anawivu kuliko wanaume wote duniani. Kina kipndi anachumua simu yangu anaenda nayo kazini , namwambia mchepuko kuwa jamaa anamebeba Simu ...

Emergine mmi graduate mume la 7. Lkn amekaba Kona. Sasa yeye katika utu uzima huu yeye ana 60 kasoro Mimi bado ndio nipo 30's ngono kuacha ni ngumu. Mwanangu mmoja mweupe wengine chocolate color. Najua kabisa huyu sio wake. Nikiruka name NAE nje nikaruka Kwa hiyo Kuna mulato aka Africast hapa.

Kwa Sasa dushe imelala Hadi niipige booster.

Wanaume wajue kwenye ndoa Kuna menginyamejificha
Unajivunia hilo ?
 
Kwa comment hii SIOI NG'OOOOO

#YNWA
 
Kataa ndoa

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom